GE2025 Shigongo: CCM ni chama namba 9 kwa ukubwa duniani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Mgombea ubunge jimbo la Buchosa Eric Shigongo amewaambia watu wa Sengerema kuwa CCM ni chama namba 9 kwa ukubwa duniani, ikiwa hii ndio sababu ya watanzania wanapaswa kukiamini CCM.

Ameyasema hayo leo Oktoba 07, 2025 akiwa katika mkutano wa kampeni wa chama hicho Sengerema mkoani Mwanza.
 
Hata kingekuwa cha 1, inatusaidia nini watanganyika?!
 
Mgombea ubunge jimbo la Buchosa Eric Shigongo amewaambia watu wa Sengerema kuwa CCM ni chama namba 9 kwa ukubwa duniani, ikiwa hii ndio sababu ya watanzania wanapaswa kukiamini CCM.

Ameyasema hayo leo Oktoba 07, 2025 akiwa katika mkutano wa kampeni chama hicho Sengerema mkoani Mwanza.
Who cares? Afadhali kuwa na chama kidogo kinachoheshimu Rule of Law kuliko kuwa na chama kikubwa kinachotawala kwa kutumia Rule of the Jungle!
 
Mpuuzi kabisa huyu ni takataka tupeni dampo, hatutaki chama kikubwa, tunataka chama cha haki kisafi kisicho na umwagaji damu ndani yake...
 
IMG_8659.png
 
Namba 9 gani upupu mtupu. Chama kinalindwa na vyombo vya usalama
 
Mungu yupo na yuko kazini kwa nguvu kubwa sana msichukulie poa

Back
Top Bottom