Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,791
- 4,878
Plus Trans Africa busKuna moja bus za tanganyika bus zilipiga Mwanza Bukoba MWANZA tarime zilikuwa moto balaa
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Plus Trans Africa busKuna moja bus za tanganyika bus zilipiga Mwanza Bukoba MWANZA tarime zilikuwa moto balaa
Ni miaka ile ya 90. Ni Likungu Trans, ISUZU MV 118, TZK6150, Dar Njombe Songea. Dereva Selepion huyo wa Katikati na aliyeshika kiuno ni Juma Ndang'o.
Alisumbua sana njia ya Songea - Dar. Alishawahi kuingia Songea saa 12 kasoro jioni akitokea Dar, dereva, alikuwa ni Selepion.
Ilikuwa ni vigumu sana kuamini kama ISUZU inaweza kukimbia hivyo. Lakini Likungu ndiyo ilikuwa hivyo. Hatari sana, watu wa Songea hawawezi sahau hii gari.
View attachment 2327670
😁😁😁Nimewahi kupanda basi linaitwa Lucky Star, tulifika Ubungo saa 8 mchana likitokea Mby....
Nimewahi kupanda basi linaitwa Lucky Star, tulifika Ubungo saa 8 mchana likitokea Mby....
😳😳😳Miaka ya 2000 mwanzoni enzi hizo Marcopplo Andare Class ndio zinaingia.
Nilijisogesa zangu Msamvu pale nichukue gari kuelekea Dar. Nikawa nasubidi gari zinazotoka mikpani ilikua kama mida ya saa 11 hivi.
Mata ikaja Mohammed Trans ya Dodoma. Nikakata tiketi nikaingia ndani. Gari bado mpya siti zins nailoni bado kitu Andare Class.
Kidogo ikafika Sumry ya Tunduma ikiwa imeongozana na Hekima ya Tunduma. Hazikuchelewa zikatoka na sisi tukatoka hivyo tukawa tumeongozana gari tatu mbele Sumry ikifuata Hekima na Mohammed Trans nyums.
Aisee mashine zilikua zinatembezwa bampa tu bampa mpaka Mikese mizani. Baada ya kutoka hapo zilipigwa gia mpaka chalinze gari zote hazikusimana zikapita chalinze ikawa kuitafuta mlandizi.
Sasa kile kipande cha vigwaza mbele kulikua na Lorry, Sumry akapunguza spidi kdg, Hekima hakupunguza akaovertake Sumry na Lorry kwa pamoja na Mohammed Trans pia akapita Sumry na Lorry
Hapo Sumry ikabaki nyuma Hekima mbele.
Dah ile gari ilikua inatembea sio masikhara hili Polo psmoja na kuws ni jipya lakink halikuweza kuipita ile mashine mpk tunafika picha ya ndege Mohammed Trans ikaingua petrol station kujaza mafuta
Ilikuwa lami tayariNaona jamaa alikuwa anakanyagia sana aisee. Naomba kuuliza pia barabara Dar to Songea ilikuwa lami full au?
sure jamaa hiyo masia nimepanda sana dar-tundumaMbona huyo cha mtoto, kulikuwa na ligi ya masia express Tzj 3360 matema beach Tzj 7104 , Tawaqal Tzk110 etc , hizi zilikuwa zikikutana dae mnaingia saa nane mchana ,yani kipindi cha dj show ya radio one ya kina mike mhagama ndo kinaanza
Hood ye alikuwa ana game lake la kuingia saa kumi Tunduma ,
Mkwema bus Msm 34 , nayo ilikuwa inaingia Tunduma saa kumi jioni , ikitokea Dar.
Tatizo barabara zetu ni finyu na magari yameongezeka sana ndo maama ajali haziishiNo mkuu why bus itembee 700km kwa masaa 12,it's craze mkuu,huu ni mwendo wa masaa 8 tu,soma hii kutoka kapiri mposhi hadi nakonde ni 800km,power tools anafukia hiki kipande kwa 8hrs na hakuna ajali yeyote
kijana umezaliwa 2000+ una bishana na baba zako wengi unao ona wanajadili hivi vitu walivishuhudia na ni uhalisia sasa unapo kuja kucomment shudu uwe una fikiria mara mbiliHakuna kitu cha namna hiyo usidanganywe! Labda kama alikuwa anaendesha helkopta! Basi likiondoka Dar saa 12 asubuhi linaingia Njombe saa 12 jioni, na toka Njombe hadi Songea ni masaa matatu na nusu hadi manne. Unamdanganya nani wewe!
HAPPY NATION (SAUTI YA MANKA) ilikuwa hatari sanaMiaka ya karibuni walioweza kidogo kuurudisha ule moto walikuwa Nganga, Happy Nation na Majinjah...
Wateja wakubwa walikuwa wafanyabiasha na madavoo wa IT, hapo raia wanawaishwa kuja kufunga mzigo K'koo kesho yake wageuze chap...
Nishawahi kupanda Happy Nation, toka Mbeya na ikafika Dar saa kumi kasoro jioni...(hii ni 2000 mwanzo hapo)...
unamfahamu Giriki?Ni miaka ile ya 90. Ni Likungu Trans, ISUZU MV 118, TZK6150, Dar Njombe Songea. Dereva Selepion huyo wa Katikati na aliyeshika kiuno ni Juma Ndang'o.
Alisumbua sana njia ya Songea - Dar. Alishawahi kuingia Songea saa 12 kasoro jioni akitokea Dar, dereva, alikuwa ni Selepion.
Ilikuwa ni vigumu sana kuamini kama ISUZU inaweza kukimbia hivyo. Lakini Likungu ndiyo ilikuwa hivyo. Hatari sana, watu wa Songea hawawezi sahau hii gari.
View attachment 2327670
mimi ni shahidi wa hili.Kuna mdau alileta thread kama hii anakuambia kuna mwamba wakuitwa Giriki alichapa gia Dar -Mbeya kwa masaa 9 alitoka Dar saa 12 asubuhi na alifika mbeya saa 9mchana
tawkal ndo alikua nayo GIRIKIMbona huyo cha mtoto, kulikuwa na ligi ya masia express Tzj 3360 matema beach Tzj 7104 , Tawaqal Tzk110 etc , hizi zilikuwa zikikutana dae mnaingia saa nane mchana ,yani kipindi cha dj show ya radio one ya kina mike mhagama ndo kinaanza
Hood ye alikuwa ana game lake la kuingia saa kumi Tunduma ,
Mkwema bus Msm 34 , nayo ilikuwa inaingia Tunduma saa kumi jioni , ikitokea Dar.
sasa hiyo Tawaqal ilikuwa inaendeshwa na GirikiMbona huyo cha mtoto, kulikuwa na ligi ya masia express Tzj 3360 matema beach Tzj 7104 , Tawaqal Tzk110 etc , hizi zilikuwa zikikutana dae mnaingia saa nane mchana ,yani kipindi cha dj show ya radio one ya kina mike mhagama ndo kinaanza
Hood ye alikuwa ana game lake la kuingia saa kumi Tunduma ,
Mkwema bus Msm 34 , nayo ilikuwa inaingia Tunduma saa kumi jioni , ikitokea Dar.
Unashangaa kama Mimi ninavyokishangaa kijana na nguvu zako kutumia Tecno.