Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,372
Ni miaka ile ya 90. Ni Likungu Trans, ISUZU MV 118, TZK6150, Dar Njombe Songea. Dereva Selepion huyo wa Katikati na aliyeshika kiuno ni Juma Ndang'o.

Alisumbua sana njia ya Songea - Dar. Alishawahi kuingia Songea saa 12 kasoro jioni akitokea Dar, dereva, alikuwa ni Selepion.

Ilikuwa ni vigumu sana kuamini kama ISUZU inaweza kukimbia hivyo. Lakini Likungu ndiyo ilikuwa hivyo. Hatari sana, watu wa Songea hawawezi sahau hii gari.

IMG_9203.jpg
 
Ni miaka ile ya 90. Ni Likungu Trans, ISUZU MV 118, TZK6150, Dar Njombe Songea. Dereva Selepion huyo wa Katikati na aliyeshika kiuno ni Juma Ndang'o. Alisumbua sana njia ya Songea - Dar. Alishawahi kuingia Songea saa 12 kasoro jioni akitokea Dar, dereva, alikuwa ni Selepion. Ilikuwa ni vigumu sana kuamini kama ISUZU inaweza kukimbia hivyo. Lakini Likungu ndiyo ilikuwa hivyo. Hatari sana, watu wa Songea hawawezi sahau hii gari.
Miaka hiyo barabara kutoka Dar hadi Songea ilikuwa mkeka kama sasa?
 
Naona jamaa alikuwa anakanyagia sana aisee. Naomba kuuliza pia barabara Dar to Songea ilikuwa lami full au?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Barabara ya Songea Dar kwa miaka mingi sana ni full lami, its tricky though, kutoka Njombe hadi Songea kuna hadi utelezi kwenye hiyo hiyo lami ,making it one of the most dangerous road in East Africa .
 
Kuna mdau alileta thread kama hii anakuambia kuna mwamba wakuitwa alichapa gia Dar -Mbeya kwa masaa 9 alitoka Dar saa 12 asubuhi na alifika mbeya saa 9mchana
Mbona huyo cha mtoto, kulikuwa na ligi ya masia express Tzj 3360 matema beach Tzj 7104 , Tawaqal Tzk110 etc , hizi zilikuwa zikikutana dae mnaingia saa nane mchana ,yani kipindi cha dj show ya radio one ya kina mike mhagama ndo kinaanza
Hood ye alikuwa ana game lake la kuingia saa kumi Tunduma ,
Mkwema bus Msm 34 , nayo ilikuwa inaingia Tunduma saa kumi jioni , ikitokea Dar.
 
Umbali wa Dar to Songea kama ni 965km, huu ni mwendo wa masaa 10na 30mins, kwa wastani wa 100km/h muda wa mapumziko, means ni mwendo wa kawaida na wala sio wooooah, Kamanda Haji pale kwenye ajali ya juzi ya roli iliyoua wengi pale Inyala, Mbeya amezungumza ukweli mtupu sio politics, tatizo ni barabara mbovu na finyu, alama za usalama barabarani ni zero, na speed ya 50km/h trunk ilikua inasafiri kwa 60km/h hii sio speed mbaya sana, roadworthy ya magari yetu ni zero;
 
Mbona huyo cha mtoto, kulikuwa na ligi ya masia express Tzj 3360 matema beach Tzj 7104 , Tawaqal Tzk110 etc , hizi zilikuwa zikikutana dae mnaingia saa nane mchana ,yani kipindi cha dj show ya radio one ya kina mike mhagama ndo kinaanza
Hood ye alikuwa ana game lake la kuingia saa kumi Tunduma ,
Mkwema bus Msm 34 , nayo ilikuwa inaingia Tunduma saa kumi jioni , ikitokea Dar.
Yes mkuu hii Matema Beach Yes ilikua ni moto, pia kiswele route ya dar to songea hii bus nayo ilitamba sana, eti leo unatoka Dar saa 6am na unaingia tunduma 20:00hrs, si bora nipande baiskeli
 
Ni miaka ile ya 90. Ni Likungu Trans, ISUZU MV 118, TZK6150, Dar Njombe Songea. Dereva Selepion huyo wa Katikati na aliyeshika kiuno ni Juma Ndang'o. Alisumbua sana njia ya Songea - Dar. Alishawahi kuingia Songea saa 12 kasoro jioni akitokea Dar, dereva, alikuwa ni Selepion. Ilikuwa ni vigumu sana kuamini kama ISUZU inaweza kukimbia hivyo. Lakini Likungu ndiyo ilikuwa hivyo. Hatari sana, watu wa Songea hawawezi sahau hii gari.
Special Dedication
 
Back
Top Bottom