Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 744
acha ushamba ulitaka utuoneeshe hako kafllat ka jirani yako
pambavu wewe.....ujinga wako ndio maana ni maskini wa kutupwa wa akili......acha ushamba ulitaka utuoneeshe hako kafllat ka jirani yako
aisee hizo dawa za ,bu zinafanya nini hapo kudadadadeki.....watangazaji wenyewe wana viriba tumbo.....Angalia vizuri!
Alafu hivi matangazo ya biashara ni mmpaka waweke products mezani?! ... kwani hawana wataalamu wa Graphics ili yawe yanapita / scroll kwenye TV badala ya kuweka mezani "Fizikali"?!
mbona sio meza, ni stuliwadau hebu oneni meza ya studio za TBC1 kwa kweli kama ndo kioo chetu cha taifa tunatia aibu, huwezi tofautissha kati ya chumba cha bachelor. Hebu nunueni meza nzuri ili waangaliao waone uhoondo na kujihisi wanaangalia TV badala ya comedy
Huyu mchambuzi kuume hapo anajua