Meza ya studio za TBC1.

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
wadau hebu oneni meza ya studio za TBC1 kwa kweli kama ndo kioo chetu cha taifa tunatia aibu, huwezi tofautissha kati ya chumba cha bachelor. Hebu nunueni meza nzuri ili waangaliao waone uhoondo na kujihisi wanaangalia TV badala ya comedy
 

Attachments

  • Photo0204.jpg
    Photo0204.jpg
    348 KB · Views: 909
acha ushamba ulitaka utuoneeshe hako kafllat ka jirani yako

acha ujinga wewe unafikiri wote tunaangalia kwa jirani kama wewe. Mzembe wewe angalia studio za vituo vingine zilivyo kwa ufisadi unaofanywa na viongozi wa nchi hii hatustahili kabisa kutumia kameza ka elfu 30 watangazaji wenyewe wanaonekana kabisa wamekaa kwa kujibana. Hata laptop tu imekaa kwa shida. Ukiangalia Tv za kimataifa waandishi sasa hawatumii karatasi wanatumia laptops na tablets, tbc wanatumia karatasi huu ujinga. Ambaye anakwenda na wakati na technology ni mtangazaji wa habari za biashara tu ambaye anatumia tablet.
 
ina nini mbona naiona ya kawaida?. mia

Angalia vizuri!

Mupirocin ... Alafu hivi matangazo ya biashara ni mpaka waweke products mezani?! ... kwani hawana wataalamu wa Graphics ili yawe yanapita / scroll kwenye TV badala ya kuweka mezani "Fizikali"?!

attachment.php
 
Kwani ina tatizo gani? au kwa sababu inaonekana imetengenezwa hapa nchini?? acheni kasumba.
 
acha ushamba ulitaka utuoneeshe hako kafllat ka jirani yako
pambavu wewe.....ujinga wako ndio maana ni maskini wa kutupwa wa akili......
wenzako angalia walipo..















Angalia hata mashori wenu sio wakali.....angalia citizen tv studio zako bwegge wewe...
 
Angalia vizuri!

Alafu hivi matangazo ya biashara ni mmpaka waweke products mezani?! ... kwani hawana wataalamu wa Graphics ili yawe yanapita / scroll kwenye TV badala ya kuweka mezani "Fizikali"?!


attachment.php
aisee hizo dawa za ,bu zinafanya nini hapo kudadadadeki.....watangazaji wenyewe wana viriba tumbo.....
 
wadau hebu oneni meza ya studio za TBC1 kwa kweli kama ndo kioo chetu cha taifa tunatia aibu, huwezi tofautissha kati ya chumba cha bachelor. Hebu nunueni meza nzuri ili waangaliao waone uhoondo na kujihisi wanaangalia TV badala ya comedy
mbona sio meza, ni stuli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom