Meya wa Iringa ang’olewa madarakani

johnthebaptist,
Ccm mna laana
Dunia inahangaika na Corona
Nyie mpo busy mnachezea pesa za umma bila huruma.
Mtalipa kwa matendo yenu maovu siku sio nyingi.
 
Kama Dar tu, wajumbe waliotakiwa kumuondoa meya Ni 17.mbaya zaidi chadema wako kimya tu.lile LA dar liliishaje?
 
Bwashee akidi ilitimia ambayo ni wajumbe 17

Inapopigwa kura kinachoangaliwa ni wingi wa kura siyo akidi.

Chadema kama walikuwemo ukumbini basi huo uamuzi ni halali meku.

Lakini ni uamuzi usio na tija masna hata huyu Meya wa Dar aliyeingilia dirishani anaogopa kuwazuia mwendokasi kujaza abiria kupita kiasi ili kuidhibiti Corona!
Weka kifungu cha sheria hapa kinachohalalisha hayo...
 
Screenshot_20200328-171848.png
 
Hivi mameya Wa chadema wamebaki wangapi? Kule Mbeya VIP baada ya kumnunua yule meya mchungaji
 
sababu za kijinga kabisa,MTU mweusi ni laana,ccm sikuzote wanawaza kungoa upinzani ,hawana jingine wanakula fedha za nchi burebure tu,badala waumize vichwa kuleta maendeleo wanaumiza vichwa kupambana wapinzani ,korona itakuwa babalao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukatae milioni 200 wakati mnakula woh woh!! msitutanie
Hakuna wa kumpa hiyo hela acheni porojo za kahawani hiyo hela ni while tayari pia ukiongezea kamahiyo nikituo cha afya ati
Nikupie million Mia unipe tigo
 
Bwashee akidi ilitimia ambayo ni wajumbe 17

Inapopigwa kura kinachoangaliwa ni wingi wa kura siyo akidi.

Chadema kama walikuwemo ukumbini basi huo uamuzi ni halali meku.

Lakini ni uamuzi usio na tija masna hata huyu Meya wa Dar aliyeingilia dirishani anaogopa kuwazuia mwendokasi kujaza abiria kupita kiasi ili kuidhibiti Corona!
Dar kuna meya kaingilia dirishani?
 
Back
Top Bottom