Meya wa Iringa ang’olewa madarakani

Kasome kanuni kwanza ndio uje ulete mjadala ukiwa atleast una ABC

Akidi ya Kikao cha kwanza na cha pili zinatofautiana

Akidi ya kikao cha kwanza ni 2/3 ya Wajumbe wote wa baraza la Madiwani

Akidi ya kikao cha pili baada ya cha kwanza kuahirishwa kwa kukosa akidi huwa ni 2/3 ya waliojudhuria na kupiga kura kanuni ya 9(4)

Kama hujaelewa uliza lingine
Kama itakupendeza ungeelewa kwanza nilichouliza naona umekurupuka sina shida na kuondolewa au kutoondolewa nimeuliza 2/3 ya 26 ni 14?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meya kama hakuna lamaana anafanya zaidi ya ubishi na malalamiko piga chini apande mwengine.
Kunaviongozi hawana jipya zaidi ya kulalamika hawakusanyi Kofi sasa walitaka uongozi wanini
 
Huu ujinga wapinzani wenyewe ndio wanasababisha, km wamejua sheria na taratibu hazijafatwa wameshindwa nini kukomaa nao mpaka kikaeleweka!!? Wakati mwingine wapinzani mnatukera mnatuvunja moyo na mnatukatisha Tamaa. Sasa km tunanyang'anywa umeya kizembe namna hiyo, tutaweza kusimamia ushindi wa madiwani wabunge na urais?! Nan atawaongoza wananchi katka kusimamia na kulinda ushindi huo?! Wapinzani badilikeni bwana wakati mwingne mnatukera Sana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwashee akidi ilitimia ambayo ni wajumbe 17

Inapopigwa kura kinachoangaliwa ni wingi wa kura siyo akidi.

Chadema kama walikuwemo ukumbini basi huo uamuzi ni halali meku.

Lakini ni uamuzi usio na tija masna hata huyu Meya wa Dar aliyeingilia dirishani anaogopa kuwazuia mwendokasi kujaza abiria kupita kiasi ili kuidhibiti Corona!
Babu unajua tofauti Kati ya akidi, 2/3 na wingi wa kura!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon nchi yangu inakuwa BANANA REPUBLIC l

Imeshakuwa mkuu, we have reached the extent were people are no longer using their common sense, they are denying the truth they are even denying the numbers!! Everybody is trying to be stupid as much as possible to appease Magu. Pathetic
 
Ukatae milioni 200 wakati mnakula woh woh!! msitutanie
Hakuna wa kumpa hiyo hela acheni porojo za kahawani hiyo hela ni while tayari pia ukiongezea kamahiyo nikituo cha afya ati
 
Back
Top Bottom