Meya wa Iringa ang’olewa madarakani

Ujinga na upumbavu mwingine tokea kwa chama kinachojinasibu kama chama cha kutetea wanyonge..
 
Kuna mambo ambayo watu wanayafanya unajiulizaaaaa hadi hupati majibu, sasa unatumiaje madaraka yako ya umma kuwaondoa watu waliochaguliwa na umma? Hivi huyo mtu mmoja tu akiwa hapo utakufaaaaa? Na Kwa nini unataka uchukue asilimia Mia moja Kwa kutumia nguvu? Ili iweje? Daaaaah sijui tumefikaje hapa yani watu wanasikitika Sana na hiii hali Lakini ipo Siku tu hawa yatawakuta Kama yaliyomkuta logemarila

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu baba Jesca ni zaidi ya shetani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo
Meya wetu Iringa Mjini Ametuheshimu WanaIringa Tuliomchagua na Chadema chama kilicho mpa Dhamana.
2016 Alipewa Million 150 akazitosa, akapewa 2017 akapewa 180 akazitosa , 2019 Walimletea milion 200
250
300. Three times
Leo anaingia Chumba cha kuvaa Ameletewa Milion 400 amewatosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo Mwingine wa kijinga!!!
 
Kuna vitu vinafanya nifikirie sana juu ya tafsiri halisi ya demokrasia ni nin? Je ni wengi wape hata kama wanakosea au ile ya Mwalimu Nyerere mwaka 1992 juu ya kuanzisha vyama Vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unapost ujumbe wako alikuwa hajag'olewa? Au ulikuwa umelala?
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Nilikuwa nauliza tu naomba watalaamu wa hesabu mkoani Iringa mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee akidi ilitimia ambayo ni wajumbe 17

Inapopigwa kura kinachoangaliwa ni wingi wa kura siyo akidi.

Chadema kama walikuwemo ukumbini basi huo uamuzi ni halali meku.

Lakini ni uamuzi usio na tija masna hata huyu Meya wa Dar aliyeingilia dirishani anaogopa kuwazuia mwendokasi kujaza abiria kupita kiasi ili kuidhibiti Corona!
 
Back
Top Bottom