Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Especially ubaguzi kutoka kwa taifa teule. Maana kuwa teule tunatarajia wawe tabia bora na ubinadamu wa hali ya juu zaidi au sio?
muslim-slave-trade.jpg
 
We unaishi dunia gani? Kwenu ulikuja napo wakati unazaliwa? Kwa dunia ya leo watu waliostaarabika wanapigania uhuru wa mtu kukaa popote anapotaka mradi tu asivunje taratibu za sehemu husika.
Madrassa-Child_sm.jpg
 
Unasikia wewe bwabwa muoga kama kunguru, haki yako iko mahali popote pale duniani na watu wanapambana na ubaguzi 24/7 badala ya kunyoosha mikono juu na kudai kwamba oh! hakutakuja kuwa na fairness hapa duniani au kuandika pumba kama za kwako oh! Wazungu wako kwao hivyo huwezi kuimpose values kwa wazungu. Haki ya binadamu hapa duniani bila kujali rangi zao ipo popote pale duniani na pale ambapo haipo inapiganiwa bila kuchoka mpaka ipatikane.


A Ferguson, Missouri, police official has been fired and two others are on administrative leave pending an investigation of racist emails uncovered by the U.S. Justice Department in the aftermath of the fatal shooting of unarmed teenager Michael Brown last year, Mayor James Knowles said Wednesday.

Ferguson Police Employee Fired, Two Suspended for Racist Emails - NBC News


mipasho kama khadija kopa,unaniwekea maneno ambayo hata sijayasema,tabia za kishangingi zimekujaa
kweli biashara matangazo,kumbe una kijungu cha kichina?sasa mbona leo unaonekana mpweke sana na nye ge zimekujaa sana bibie,vipi wakati una mvuto hivyo kwa wanaume?au wameshakuchoka kwavile huko nyuma ni nyang'anyang'a sasa?
vipi mama ako ameshaanza kutembea vizuri baada ya kuanza kuiga mchezo wako wa kutatuliwa marinda?
 
Ishmael sijaelewa kama unasema waisraeli na waarabu/waislamu ni sawa hivyo waepukwe au unataka kusemaje? Vinginevyo sioni mantiki ya kuposti hizo picha za watoto wa kiislamu ("presumably").

Halafu wewe si huwa unasema Allah ni shetani, sasa kuna ajabu gani kwenye hayo matukio yanayohusisha waarabu/waislamu?! Kwa mtu kama wewe sitegemei utoe picha za kuonesha ubaya wa uislamu kama majibu ya uovu wa Israeli maana tayari unaamini waislamu na uislamu ni uovu.

Nimekuuliza unaamini Israeli ni taifa teule? Kama ni ndio, unasemaje kuhusu hiyo tabia ya kibaguzi waliyonayo?

Sasa kwa mfano tuseme uislamu ni utumwa hii inakusaidiaje kuhalalisha wanachofanya wayahudi?!! Au ubongo wako una shoti sehemu?
 
Unapoabuse system tegemea kupangiwa sheria ngumu zaidi.ukiona hivyo ujue tayari kuna Waafrika walishaishi huko na kuharibu kila kitu.
utamlaumu Mfaransa sasa hivi akiwabagua Waafrika,kwa kitendo cha Yule mtumwa mmoja tu kutoka Mali aliyewaunga mkono wale magaidi nayeye kuua?kwasasa tutegemee kubanwa tu kila mahali.na hiyo yote kwaajili ya ------- wachache wale bendera fata upepo
 
Ishmael sijaelewa kama unasema waisraeli na waarabu/waislamu ni sawa hivyo waepukwe au unataka kusemaje? Vinginevyo sioni mantiki ya kuposti hizo picha za watoto wa kiislamu ("presumably").

Halafu wewe si huwa unasema Allah ni shetani, sasa kuna ajabu gani kwenye hayo matukio yanayohusisha waarabu/waislamu?! Kwa mtu kama wewe sitegemei utoe picha za kuonesha ubaya wa uislamu kama majibu ya uovu wa Israeli maana tayari unaamini waislamu na uislamu ni uovu.

Nimekuuliza unaamini Israeli ni taifa teule? Kama ni ndio, unasemaje kuhusu hiyo tabia ya kibaguzi waliyonayo?

Sasa kwa mfano tuseme uislamu ni utumwa hii inakusaidiaje kuhalalisha wanachofanya wayahudi?!! Au ubongo wako una shoti sehemu?
Very funny of you. But you comprehend a picture as evidence that Israelis hates black people. You need to come out of the hate box.

Those are Muhammadans chained by muzzratagastans.
 
It is true that monkeys should go back to the bush. Who refutes?
 
Taifa Teule linalopendwa na ndugu zetu Wa-Kristo kazi kweli Wa-Israil Wabaguzi wa Rangi na ni Washenzi wa tabia.

Nadhani hapa (chini kwenye picha) SIO Israel...!!
Soma vizuri bango limeandikwa'...please go back....'
Yaani wahamiaji haramu 'wanabembelezwa' warudi kwao..!!
Hawachomwi moto...!!

Sasa angalia waafrika 'wenzetu' tuliowasaidia sana kwenye vita yao ya ukombozi....angalia, usifumbe macho...!!
Hapa ni South Africa....!!
Unafiki mbaya sana...!!


South African policemen attend to Mozambican immigrant Ernesto Alfabeto Nhamuave who was set on fire in Reiger Park during xenophobic clashes that shook the whole of Johannesburg on May 18, 2008. Nhamuave, a 35-year-old father of three, later died of his injuries, his body returned to Mozambique to be buried. (STRINGER/AFP/Getty Images)

safrica6.jpg
 
Mimi sijui nikoje, mbona naona poa tu. Kwani mimi nikikataa watu fulani kuja nyumbani kwangu ni kosa? Sasa inakueje wa israel,wazungu wengine wanapokataa mataifa mengine waje kulowea kwao iwe issue. Wewe kama mtanzania au msomali una haki gani ya kudai ukae huko kama sio mkimbizi?
Kwenu mharibu halaf muende kwa wenzenu mdai haki ya kukaa huko. Its ridiculous na mimi sielewi kabisa naomba kujulishwa.

Waisrael waliwachukua wafalasha kutoka Ethiopia na kusema ni ndugu zao wa karibu lakini yaliowakuta Mungu ndio anajua
 
Back
Top Bottom