yang
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 733
- 813
Zamani na mm nilikuwa mmoja wa wanaoisujudia Israel kwamba Ni wateule kweli
But one day nikiangalia aljazeera miaka Ya 2007 nikaona mashoga na wasagaji wa Israel wamendamana nikashangaa sana akili yote ikavuruguka nikaona Kumbe hata wateule wapo mashoga!!
Walipoipiga Palestine na phosphorus bombs nikawachukia zaidi
Sasa kipindi chote hiko sikuwahi kukubania na muisrael
Mwaka jana 2014 nilifanya kazi na waisrael wawili na mmoja Ni boss Mkubwa tu hapa bongo. Ingawa nilikuta kuna wabongo wanaoisujudia nao kazi but nikawaelewa zaidi
Sio waisrael wote wanaamini Mungu
Waisrael wamekuwa affected sana na vitabu asilia vyao na sio biblia
Waisrael Ni wakorofi hata wao kwa wao
Waisrael sio wakristo Ni wayahudi
Waisrael wanaamini wao always wapo right hata kama wanashauri ujinga
Hiyo inaprove wanatuunderstimate kwa kila kitu
Kwa kifupi Ni wabaguzi sana mpaka wanakuwa wajinga
Pia nilipata kuona some sort of uchawi katika office Ya muisrael mmoja