Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Message kwa waafrika wanaoishi Israel

sijui kama umeielewa sawasawa hoja yangu.naomba urudie kunisoma.charity begins at home mkuu,kama umeshindwa kutengeneza kwako na kuanza kutangatanga kwenye majumba ya watu,hata kwenye familia ndugu watakusimanga na watakubagua.Kama baba ni wa hovyo,mvivu,mzembe,ombaomba na haijali familia yake;anapata wapi moral authority na guts za kumhoji jirani yake mwenye tabia kama zake?
Hilo la baba na jirani unaweza kuwa na hoja ila sio wote wanaopinga ubaguzi humu ni wabaguzi. Sasa kwa mfano tuseme labda baadhi ya watanzania ni wabaguzi, bado wale wasio na ubaguzi wana haki ya kupinga ubaguzi popote duniani.
 
Mtakufa na ujinga wenu,,, waisrael wanawachukia sana watu wasio na mwanga wa vison especial you black niggers!!!!!

Wale jamaa wako very smart katika kazi na uwajibikaji, wanajituma na katika ugunduzi mwingi wa kisayans wako makini sana hata mataifa makubwa yanaiaminia israel kwa hilo.
Ni taifa pekee ambalo ni la zamani sana ktk uso wa dunia lililokataa kupotea.
Sasa wamerudi kwao kuanza kujihebga upya and they might becom so strong than ever!
 
Ni upumbavu kulia ili jamii fulani itupende. Kwani lazima upendwe na fulani ndio ujione uko kamili? Kama una kwenu na unapendwa rudi kwenu, hii kulia lia kila siku ili mpate kibali mbele ya macho ya wazungu na waarabu na kuwatetea wazungu au waarabu kwa sababu ya itikadi za kidini ni upu.mbavu wa hali ya juu
 
Salamander kwani mwafrika anapendwa wapi hadi hii iwe special? Uarabuni?
 
Last edited by a moderator:
waisrael mbona wabaguzi kitambo ndo maana Hitler alikuwa anawachinja tu
 
Watu wengine viazi kweli!!

Watu wako tayari kufa kwa ajili ya mataifa ambayo mnayaita teule ambao wenyewe hawataki kujua hata uwepo wenu!!!

Akili ya ma.vi!!
 
Mimi sijui nikoje, mbona naona poa tu. Kwani mimi nikikataa watu fulani kuja nyumbani kwangu ni kosa? Sasa inakueje wa israel,wazungu wengine wanapokataa mataifa mengine waje kulowea kwao iwe issue. Wewe kama mtanzania au msomali una haki gani ya kudai ukae huko kama sio mkimbizi?
Kwenu mharibu halaf muende kwa wenzenu mdai haki ya kukaa huko. Its ridiculous na mimi sielewi kabisa naomba kujulishwa.

naona umenitaja hapo
 
Wengine mpaka wanapigwa huko ughaibuni..., kisa ??..!!

WHR-Ethiopian-refugees-beaten-to-death-in-Apartheid-Saudi-Arabia.jpg
NN
kweli muafrika ni mtu mjinga sana umewakilisha fikra zao.wewe badala ya kuchukizwa namatendo haya unaanza kushindania dini.ipo safari ndefu.
a
 
Ishmael sijaelewa kama unasema waisraeli na waarabu/waislamu ni sawa hivyo waepukwe au unataka kusemaje? Vinginevyo sioni mantiki ya kuposti hizo picha za watoto wa kiislamu ("presumably").

Halafu wewe si huwa unasema Allah ni shetani, sasa kuna ajabu gani kwenye hayo matukio yanayohusisha waarabu/waislamu?! Kwa mtu kama wewe sitegemei utoe picha za kuonesha ubaya wa uislamu kama majibu ya uovu wa Israeli maana tayari unaamini waislamu na uislamu ni uovu.

Nimekuuliza unaamini Israeli ni taifa teule? Kama ni ndio, unasemaje kuhusu hiyo tabia ya kibaguzi waliyonayo?

Sasa kwa mfano tuseme uislamu ni utumwa hii inakusaidiaje kuhalalisha wanachofanya wayahudi?!! Au ubongo wako una shoti sehemu?
Kifupi nikwamba haamini kama matendo yanafanywa na watu walioteuliwa na mungu.ha ha ha ha ha ha jamaa Jinga sana
 
Hatutaki kukubali ukweli kuwa hawatupendi Na hawatutaki.si waarabu si wayahudi.bado tunajipendekeza.akili ya muafrika ni mzigo.
ooepp
 
Naona watu wanakrupuka kutoa povu kuhusu hiyo picha. Nini uthibitisho kwamba picha hiyo ilipigwa Israel? Na je tuna uhakika hii picha sio photo shop? Wataalamu waiangalie halafu watufahamishe kama hiyo picha haijachezewa. Naona huyo mzungu aliyebeba hilo bango amezungukwa pande zote na waafrika, je alikuwa anaandamana peke yake?

Akili yangu inaniambia kuna kitu hakipo sawa hapa.

Tiba.
 
Napata kuelewa kwa nini Hitler alitaka kukifuta hiki kizazi

Hitler alisema kabisa... Alikuwa na uwezo wa kukiangamiza hiki kizazi ila aliwaacha baadhi ili watu waje kuona ubaya wao
 
Hata wa chagga hubagua wengine kwa kuwaita Chasaka. Wamasai nao na Lubega zao hujiona bora kuliko wa swahili. Hayazz nao watusi nk. Ndo maana tunasema binadamu si mkamilifu. Tumuombe sana mungu wadau
 
Mbaki kwenu kwan Hamna nchi zenu we achana na Israel taifa teule la mungu we sema eee Israel yangu ubarikiwe milele na milele
 
Back
Top Bottom