swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
Angalia jinsi ulivyo mpumbavu ni nani hapa duniani mwenye haki ya kumbagua binadamu yeyote yule eti kwa vile huyo mbaguzi ni ardhi yake na anayebaguliwa si ardhi yake!!! Fungua akili yako ya kitaahira ujue utumwa na ubaguzi unapigwa vita kila mahali duniani. Huu ni mwaka 2015 na siyo karne ya 15 ambapo utumwa na ubaguzi ulishamiri duniani kwa sababu tu ya tabaka fulani kwa watu kujiona ni bora kuliko matabaka mengine kutokana tu na ngozi yao. Uwe unasoma mabandiko hapa ili uelewe uchangiaji wa wanachama mbali mbali baadaya kukurupuka na kuandika uozo usiokuwa na ukweli wowote ule. Mstaarabu utakuwa wewe ambaye unaona Waafrika wenzako wanabaguliwa na wewe unadai eti huwezi kuwa kwenye nchi ya watu halafu uwapangie namna ya kuishi!!! Wewe kweli ni juha wa mwisho ukiwa nchi za watu hata ukiambiwa utembee uchi barabarani basi utafanya hivyo kwa sababu tu uko nchi ya watu huwezi kuwaamulia mfumo wa maisha hata kama mfumo huo umejaa ubaguzi na unyanyasaji wa hali ya juu. Acha akili za kushikiwa fungua akili yako iliyojaa utaahira ili uweze kuchanganua mambo kwa kina na si kwa kutumia elimu MULUGO division 5.
Kwani wao hawaui watu tena wanachinja kabisa vipi wewe
swissme