Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Wala hainisumbui mimi hiyo,hao israel kwangu ni sawa na Mbwa tu,hiyo post kunamtu nimemjibu naona wewe umejibu bila kujua nini kinaendelea,mwenyewe ilomhusu amekaa kimya.
Ok pole mkuu. Ni katika joto la debate tu!!
 
Jungle ni tusi? Hatuna jungles kwani? Tena ni kitu cha kujivunia kuwa na misitu ukiringanisha na jangwa lao. Yes come back to your tropical evergreen jungles, why should you force to stay in a god forsaken dry desert??

Unajua WaAfrika tumezidi, kila kitu mnaona mnabaguliwa wakati kuna mda ni inferiority complex zetu tu.
Sioni tatizo ya stance ya huyo jamaa tena hasa hasa kwa nchi kama Israel. Ingekua USA au UK sawa, sababu kuna mchango mkubwa wa mtu mweusi kwenye hizo nchi na watu weusi walichukuliwa kwa lazima kwenda huko. Kwaio leo hii akija mzungu akisema waafrika wamarekani waondoke huyo atakua kichekesho. Lakini ISRAEL!!

Usiyarembe Maneno yake! He meant we live in the jungle implying we are animals or rather lesser human beings! We all belong to the human race hence we should address each other with respect!
 
Ujue si kwamba wayahudi wote ni wakristo. Wayahudi wana dini zao wenyewe. Hadi sasa, ni idadi kubwa sana ya waisraeli hawaamini kwamba tayari ameshakuja Masihi(Yesu Kristo). Kwa hiyo hata mambo ya kibaguzi kama hayo kutokea mimi ctashangaa kivle. Ila ningeshkuru kama mleta mada ungetupa source ya hicho kichefuchefu maana naona kama ni cha kupikwa vile. Pande zote ni mablack watupu af wamevaa kisela mbaya, kama kariakoo flani iv
 
Kwa nyongeza ni kuwa huyo mwisraeli anaandamana peke yake.
 
Unataka kuona Padri alieolewa?
Mbona wako wengi tu!

Ngoja nikuonjeshe kiduchu hapa.

Wa kwanza huyu
View attachment 233479

Wa pili huyu.

View attachment 233480

Malizia na andiko linalo ruhusu USHOGA.

View attachment 233483
11009994_405011509666577_7288313225048141449_n.jpg
 
Back
Top Bottom