LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Pamoja na kubaki dakika kidogo kuifurahia sikukuu ya Merry Christmas & hata mwaka mpya 2013,
Kibinafsi kabisa nina furahja kubwa ya kuona tena member wenzangu tu pamoja tena katika hali tulionao wajamen!
Sina mengi ya kusema zaidi ya furaha ya kipekee toka kwangu mjue ya kwamba member wenzangu ninawapenda!
Wale wenzangu na mimi ambao muda huu mko Kanisani kama Mimi hakika nawaambieni ya kwamba nawapenda na ninawadhamini kama mnavyonidhamini.
Sitawataja wengi maana naamini mpo ila nitawaja hawa wachache kwa niaba ya wote;
Mzee wa Rula
Mamzalendo
Yericko Nyerere
Filipo
Arushaone
Mungi
Crashwise
Jackbauer
Nanyaro Ephata
Ben Saanane
Exaud Mamuya
Thomas Odera
sweetlady
Ringo Edmund
Chitemo
IGWE
Idimulwa
Ubungo
PakaJimmy
Na wengine wengi ambao tu pamoja katika jukwaa letu la Siasa hakika ninawakubali na ninawapenda na hata kuwa takieni kila la Kheri tunapoiacha mwaka 2012 na hata kuukaribisha 2013,MUNGU pekee akatutangulie na hata tufikie malengo yetu!
Sina mengi zaidi ya kuwatakieni kila la Kheri na hata MUNGU pekee atuvushe zaidi na zaidi!