Wana JF wote na modes wetu, kupitia uzi huu napenda kutoa salaam zangu za kukutakieni HERI YA MWAKA MPYA WA 2013. Naomba uwe mwaka wa mambo mapya na wa kupambana kwa ushindi mkuu na changamoto zote zinazotukabiri, binafsi na mabadiliko ya utawala wa Taifa hili.