Meremeta & TANGOLD Revealed!

Well.. tukubali yaishe? je tumezugwa tukazugika...? je tuwazirie nchi kwa sababu wanataka hivyo?
 
nikisema ccm ni chama cha magaidi nitakuwa nimekosea?
 
Invisible,

ASANTE SANA KWA KUIRUDISHA SLOGAN YETU....sasa tunaanza rasmi kazi...
 

Mkuu nimekupata!
Pinda na yeye nilishasema aliwekwa makusudi kuja kupindisha haki ya MTANZANIA KWANI NI USALAMA WA MAFISADI TOKA ENZI ZA MWALIMU.

Huko msalani wanakokwenda Kichwangumu na wenzake kweli foleni inaweza kuwa kubwa!

Habari hii ya PINDA hata haiweleweki kabisa.

Hii NOMA FMES TUTAPAMBANA!
TUNATAKA KUONA HIZO DOCUMENTS ZA MEREMETA NA ILI TUWEZE KUONA KAMA NI JESHI LINAIMILIKI AMA NI BAADHI YA WANAJESHI WALIOJIKITA KWENYE UFISADI KWA KUSHIRIKIANA NA MKAPA ILI HATA NOMA IKITOKEA WADAI NI SIRI YA JESHI.
HALAFU WATU WAKIITWA MAFIOSO WANACHUKIA!

Na sasa ni wazi jeshi limegawanyika kama nilivyosema!

Hatutaki mwavuli wa "JESHI"

Tunataka kujua ni wanajeshi gani hao walioshirikiana na MKAPA!

Huyo ndugu anayejiita MZALENDO NI MZALENDO WA TANZANIA AMA ZAIRE NA UFARANSA?

Maana hata jeshi letu naona lishaingiliwa na ni haki likigawanyika na kama mbaya mi naona acha iwe mbaya tuu!

Kwani hakuna HISTORIA YA DUNIA INAYOONYESHA KUNA UHURU ULIOWAHAI KUPATIKANA BURE!

Huyu bwana anajua kiswahili lakini ni wazi alianza kwa kujidai hakijui vizuri.

Mpango mzima wa changa la macho ni kwamba waliamuwa kununua rada na mauchafu mengine wakijidai kuwa ni kwasababu nchi majirani za KENYA NA UGANDA nazo zilkuwa zikijaihami kijeshi kwa kuwatumia wamarekani na wakenya na huku wakiwa hawatupi kitu chochote!

Kwamba waliwapa sapoti wachina na magharibi wakawakumbatia Museveni na Kenya na hivyo wakaamua kujimilikisha migodi yetu ili wapate pesa za kununua silaha za kutulinda wadanganyika!

SASA TOKA LINI JESHI LINA HAJA YA KUMILIKI MIGODI YETU KAMA TATIZO NI PESA?

KWANI MAHITAJI YA JESHI YALAZIMISHA VIPI WAO KUMILIKI MIGODI?

WIZARA YA ULINZI NA USALAMA HUWAPA NINI JESHI?

Niliposema mchina na mmarekani wanagombea DUNIA MKABISHA.

Lakini hata hivyo meremeta si simply ya jeshi!

Bali inawezekana ni ya wanajeshi mafisadi walioamua kushirikishwa na genge la wanamtandao wakiongozwa na MKAPA!

WE WANT OUR COUNTRY BACK AND TO HELL WITH MAFISADI!

EITHER WANAJESHI AMA RAIA WHO GIVES A DAMN?

KUMBE NDIO MAANA WAKAANZA KUNIAMBIA NATAKA DAMU IMWAGIKE!

KUMBE NI KWASABABU WALIKUWA WAKI IMPLY KUWA MANENO YANGU NI YA KUPINGANA NA WANAJESHI FLANI FLANI MAFISADI AMBAO WAKO RADHI KULIGAWA JESHI NA TAIFA KWANI MIGODI WANAMILIKI WAO HUKU WAKIJIDAI NI JESHI ZIMA!

HAKUNA ANYTHING AS SUCH AS HII NI MALI YA JESHI!

NANI WENYE SHARES HUMO?

HUU NI WAKATI MPYA WA KIZAZI KIPYA NA KAULI KAMA HIZI ZITASABABISHA WATU WAANZE KUCHOMANA MOTO!
 
Tusimlaumu sana Pinda, waliomuajiri wanajua hawezi kuwasaliti na amekula kiapo cha kowasaliti.... tumeliwa!
 
CCM sio chama cha magaidi mimi sio gaidi na mwanachama wa CCM, lakini magaidi wachache ndani ya CCM tunawajua na tuko njiani kuwafanyia kazi ingawa sio rahisi, tizama hii topic utaona vizuri wanajua vizuri kuhusu Meremeta lakini wanajaribu kutudanganya hapa,

siku zenu zinakaribia kufika mwisho, kumshinikiza pinda aseme uongo haina maana mnatudanganya wote sisi wananchi kuna tulioamka na tunaujua ukweli!
 

......FMES
maneno mazito sana hayo heshima mbele Mkuu..........watu wanafanya UFISADI in disguise ya usalama...............halafu wengine wanaendeleza KULINDANA!!!
 
ASANTE SANA KWA KUIRUDISHA SLOGAN YETU....sasa tunaanza rasmi kazi...

On this one tuko ukurasa mmoja, hatutaacha jiwe hata moja un-turned! Waache kwanza wamalize kudanganyana huko bungeni halafu ndio tuanze kazi rasmi hapa Jambo Forum ya kuwaanika mafisadi na watoto wao, wake zao, wajomba zao, mama zao, mpaka baba zao wadogo,

Oooh yeah I said it, wote wamenufaika na this misery of our nation!
 
halafu huyo pinda anaziweka ishu zote, meremeta, epa, na richmond kwenye same level ya imporntance na consclusion.
ima maana maelezo yote yametoka pamoja, yanakuwa handled sawasawa, kwa hiyo tusitegemee chochote toka kwake.
 
Chomeni Moto Mafiasadi Wote!
Wekeni Listi Kweupe..then Muone Kama Wananchi Watakaa Kimya!
 
Tusimlaumu sana Pinda, waliomuajiri wanajua hawezi kuwasaliti na amekula kiapo cha kowasaliti.... tumeliwa!

I beg to differ,

Mtu mwenye integrity akiona anakuwa appointed kwenye kazi ambayo itambidi afanye ufisadi hawezi kuikubali hiyo kazi.Kuna mzee bongo ana integrity zake amestaafu utumishi wa umma akapewa a very lucrative position na Rostam Aziz, Im talking a big money position with lucrative contracts, lakini kakataa.Yupo tu anaishi maisha simple sasa hivi.That's what I call integrity.

Au hata kama akiingia kwenye kazi hajui kwamba ina masharti ya kifisadi, baadaye akapewa masharti ya kifisadi, mtu mwenye integrity ni bora kukataa masharti hayo au kujiuzulu na kuueleza umma kwa nini kajiuzulu, (Mrema style 🙂 )

Tatizo la Pinda hana integrity wala guts za kufanya any of the above.Moreover yeye mwenyewe kalelewa usalama wa taifa aka usalama wa mafisadi.

Sasa tutegemee nini kipya?

Ndiyo maana mi nilisema tangu day one huyu Pinda bonge la bomu!
 

waambie chama kishanuka, karibu kitaanza kutoa mafunza wakiendelea hivi hivi.

viongozi wanakuja na uongo mpya kila kukicha. uongo mwenyewe hauna hata kichwa wala miguu. ni aibu kubwa mno
 
......FMES
maneno mazito sana hayo heshima mbele Mkuu..........watu wanafanya UFISADI in disguise ya usalama...............halafu wengine wanaendeleza KULINDANA!!!


kweli kabisa, FMES asante kwa kutuamsha....
 
Jamani mimi nasikia kizunguzungu sijisikii vizuri kabisa kauli hii ndo ya kutamka PM....mmm shame
 
Ndio Maana Mimi Huwa Naita Ni Maigizo...kinachofanyika Ni Kuwachanganya Wanachi Kwa Kufanya Maigizo Kama Ya Ze Komedy....hawa Vigogo Huwa Wanakutana Then Wana Discuss Waje Na Confusion Statement Gani Ili Main Ishu Iwe Diverted.....ndio Mtindo Walio Ugundua Kwa Sasa.....subirini Kidogo Ataibuka Mwingine Kuwa 'kiwira Haikununuliwa Na Mtu Binafsi' Au Ilinunuliwa Na Serikali!!! Ngoja Tujionee....mi Nasubiri Ukifika Wakati Wa Kuwachapa Viboko Hawa Wazee....
 
waambie chama kishanuka, karibu kitaanza kutoa mafunza wakiendelea hivi hivi.

viongozi wanakuja na uongo mpya kila kukicha. uongo mwenyewe hauna hata kichwa wala miguu. ni aibu kubwa mno

mkuu cha ajabu hata kudanganya kwenyewe hawajui kabisa.....yaani mtu anaongea unaona kweli kabisa hapa naingizwa choo cha kike hivi hivi....CCM wanatupeleka wapi???????????
 
mkuu cha ajabu hata kudanganya kwenyewe hawajui kabisa.....yaani mtu anaongea unaona kweli kabisa hapa naingizwa choo cha kike hivi hivi....CCM wanatupeleka wapi???????????

kwi kwi kwi

hicho choo cha kike ni kipi tena?
 
Binafsi siwezi kumalaumu pinda, kwa sababu ninaiangalia kwa makini sana our system ya siasa na utawala, who is pinda? Hapa Jf hakuna aliyehusika na kumchagua pinda, alichaguliwa na rais, wengi hapa tulisema tumpe muda tuone, sasa muda umefika na ukweli uko wazii kwamba ni wale wale yaani mazumbukuku na limbukeni wa power,

Anawaogopa waliompa power masikini wa Mungu hajui kuwa akisimamia wananchi anaweza kuwatupa waliompa power na hata kuwafunga, haelewi kuwa yeye sasa ndiye mwenye power, wakatuambia kuwa huyu amefanya kazi na Mwalimu, akaenda mpaka makanisani kupewa Rosary na Mama Maria, ndio maana tulisema hata hawa Nyerere waliobaki nao wameanza kuwa mafisadi,

Sasa huyu naye ni wale wale, hakuna matumaini kabisaa hata hiyo ripoti ya Richimonduli itakuwa yale yale watch atasema kuwa ni ishu ya bunge sio ya wananchi, sasa katika vacuum ya who to trust wananchi tunafanya nini? Tunarudi kuwalilia kina Mwakyembe na mama Kilango kuwa tunawaomba wajitahidi hivyo hivyo kuwapigia kengele mafisadi, na sisi tuko nyuma tunawafichua, ngoja niingie kutafuta dataz ya kinachojiri huko bungeni sasa,

Wananchi tumeliwa kwenye hili la Meremeta!
 
hatutachomoka, hatuta kubali, liwalo naliwe hatuwezi kutukanwa hivi.. tena kila siku... ohh pesa za EPA si za umma oooh.... meremeta siri ya jeshi, nani alimtuma aibe.. nyie hamjui kuwa si muda mrefu mtasababisha mauaji ya watu badala ya mkapa pekee afungwe yaishe tuendelee na amani yetu... hivi hamjajifunza yaliotokea tabata dampo juzi usiku????

Yani hivi kweli CCM wameamua bora amani ya nchi ichafuke na raia wake wanaodaichao wafe ili mkapa alaale unono... over our dead bodies.....

watanzania tusikubali tuamke sasa............

yani nimefikia mwisho sasa jamani mwenzenu.....
 

Then he should do the RIGHT and HONOURABLE thing and resign.

Kila siku anasema issue hii ni NGUMU sana, what kind of a leader/PM is that?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…