Meremeta & TANGOLD Revealed!

Meremeta & TANGOLD Revealed!

Huu mjadala ulifungwa sababu ulihusisha vyombo vya ulinzi ambavyo huwa havijadiliwi kisiasa. Hata huu uzi sasa hivi utaondolewa hapa!
 
....hii nchi inashangaza yaani ktk ulimwengu huu bado uwezo wa jeshi letu linafichwa!hawawezi kuficha maana ni rahisi kujua aina za silaha na nyezo zake zote zilizokuja Tanzania kupitia mashirika ya kimataifa.Hivyo suala kuwa ni mambo ya usalama linatumika kuficha kitu na hii ndio kawaida yetu........hapo kuna uwizi tu...
 
Hiyo PESA ni kidogo ukilinganisha na pesa waliyopiga Rostam na Mengi peke yao .
 
I trusted Ruttabanzibwa...sana kumbe naye yumo. he has to win back my trust by clearing all these allegations around him.
 
Rostam aliuza Dowans Kwa Dola milion 120 kisha Serikali ikamlipa fidia dola Milion 100 na baadae kauza hisa zake za voda kwa dola milion 300 jumla ni dola milion 520 hii ni pesa Nyingi tena mara tatu ya escrow na meremeta , alipugundua kuwa akitaka ahamishie hizo Pesa nje pasipo kulipa Kodi Lazima amshirikishe Mengi ndipo alipomkatia Ganji la Ukweli Mengi akaingia kazini kwa kushirikiana na akina mwigulu na wenzake wakahamisha hizo pesa kwenda Nje bila kukatwa kodi, Huku mengi akiwa amekuwa Rafiki mkubwa wa Rostam tofauti na Hapo awali walikuwa maadui wakubwa, Dili kubwa imewaleta pamoja na ikamsaidia Rostam kuhamisha pesa pasipo pressure Kwani kinyume na hapo Mengi angemlipua vibaya sana.
 
Na huyu dikteta lile dubwasha lake chakavu mwenyewe analiita kivuko kenda kuwabambikia jeshini halafu akitoa mayowe eti wamlinde na uovu wake wa bilioni 8 kwa watakaoendelea kujadili ufisadi wake mkubwa jeshi liwashughulikie.

CCM inalitumia Jeshi ili kufanya ufisadi ambao hauwezi kuwa audited
 
Hahahaha mkuu BAK kila utawala unakula kwa namna yake, utawala huu manunuzi mengi hayafati taratibu,ni mwendo wa order tu. Ukikumbushia kivuko usisahau na nyumba za serikali watu waliwapa mpaka vimada wao.

Hivi ni lini baba jesca atafukua makabauri haya ya Meremeta,Tanggold,Deepgreen finance,Richmond..?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Majizi yote haya Mkuu. Hili jizi jingine wamelilinda ndani ya Serikali hadi wakalisukumizia Ikulu. Kule China haya majizi na mafisadi yanachapwa shaba tu. Imagine tungekuwa na utaratibu huu hapa nchini, MACCM kusingebaki jizi hata moja na ungekuwa mwisho wa haya majizi kuinajisi Ikulu kwa miaka nenda miaka rudi sasa.

hahahahaha umeua mkuu, hakuna ambaye angesalimika ktk kile chama cha kijani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I trusted Ruttabanzibwa...sana kumbe naye yumo. he has to win back my trust by clearing all these allegations around him.
Hawa watu hawaaminiki,huyu mzee aliwahi kuthibitisha chini ya kiapo maria kejo alimpa rushwa ya milioni mia mbili au saba hivi kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ili aridhie mkataba wa IPTL. Kumbe naye mpigaji tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahaha mkuu BAK kila utawala unakula kwa namna yake, utawala huu manunuzi mengi hayafati taratibu,ni mwendo wa order tu. Ukikumbushia kivuko usisahau na nyumba za serikali watu waliwapa mpaka vimada wao.

Hivi ni lini baba jesca atafukua makabauri haya ya Meremeta,Tanggold,Deepgreen finance,Richmond..?
Thubutu! CCM ni wale wale! Sema ukiwa ndani wewe ni mwizi mtakatifu, mkabila mzuri na mwenye upendo nk kama anavyoainisha Pascal Mayalla!
 
Hata kukutana na Watanzania hataki! Anajua watu wana maswali kibao kuhusiana na tuhuma mbali mbali za wizi, rushwa na ubadhirifu ndani ya siri kali, na akitoa majibu yake ya kisanii wanaweza pia kumzomea! Mtawakimbia Watanzania mpaka lini!?
Leo hii mnalia mnadai mmemmiss! Makamanda bana
 
..in my other posting niliuliza isije kuwa Dr.Slaa ameibuka na mafaili asiyopaswa kuwa nayo. wasije tu wakambana kama walivyombana Seif Sharrif Hamad.

..upande mwingine inawezekana kuna ulaji,wizi,jinai imetokea katika hiyo account ya meremeta. sasa kumbana Dr.Slaa itakuwa ni kumuumiza mtu mwenye nia njema na taifa letu.

..CCM wanaweza kuamua kuuchuna kuhusu Buzwagi, wakangangana na hili suala la account za Meremeta kwamba ni suala la Usalama.
Leo hii Dr. Slaa ni takataka na mla mihogo. Bavicha kwa kweli mnaogopesha
l
 
Kama kawa ni lazima nitaibukia popote kwenye hii mijadala.
Ni wazi kuwa kuna wengi tunashare mawazo lakini approaching ni well.... Tofauti.

Na ndio maana threads zangu zote zinaanza kumake sense sasa hivi na wengi hawayapuuzii mawazo yangu kama walivyokuwa wakifanya kabla.

Nilishasema kuwaweka mafisadi LUPANGO kutaliponya TAIFA kwani issue kuwa wanahatarisha usalama wa taifa kwa kuligawa nilishaiweka wazi toka siku ya kwanza nillipogundua mbinu hizi na mikakati ya kusafishana machoni pa watanzania kwa kuanzia na ziara zao za vijijini!

Sasa Kikwete ni kiongozi gani huyu?

PINDA MTU WA ROZARI...WALIMTUMIA ILI KUWAHADAA WANANCHI ILI TUSIKILIZE PUMBA ZAO KWA KUPITIA KWAKE!

Tatizo ni kwamba hata chinga wenyewe sasa wanajuwa mateso yao yamesababishwa na nani...Pia wanajua wanapigwa bao kwani USHAHIDI WOTE UKO NJE NJE!
Ila leo mnajiliza kwamba mmemmiss! Bavicha aisee!!
 
Watanzania wenzangu, the moment of the truth for the future of our country is NOW and we should not leave this momentum slip away. Let's keep the same pressure to this corrupt government.

Which you now cry for you brainless Uifpa boys
 
Leo hii Dr. Slaa ni takataka na mla mihogo. Bavicha kwa kweli mnaogopesha
l

..nadhani huko aliko Dr.Slaa anamshukuru MUNGU.

..siasa zetu zimeingiliwa na watu MAKATILI.

..kama Tundu Lissu kashambuliwa kwa smg, nadhani Dr.Slaa yeye angeshambuliwa kwa makombora ya katyusha.
 
Kuna similarities nyingi sana kati ya ZANU PF na CCM. Wakati JK anajifanya kumkemea Mugabe na chama chake, CCM na JK wanayafanya yale yale ambayo yameifikisha pabaya Zimbabwe. Kweli nyani haoni......

JK huyu huyu mnayemmiss? Kiruuuu!!
 
..nadhani huko aliko Dr.Slaa anamshukuru MUNGU.

..siasa zetu zimeingiliwa na watu MAKATILI.

..kama Tundu Lissu kashambuliwa kwa smg, nadhani Dr.Slaa yeye angeshambuliwa kwa makombora ya katyusha.

Ni Kweli kabisa. Kama chadema iliweza kuwakaribishia Lowassa, Sumaye, Kingunge na genge lao lote na sasa Nyalandu huku Dr. Slaa akifukuzwa kama mbwa...
 
Back
Top Bottom