Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,580
Miongoni mwa aliyosema ni kuwa sheria ya usalama wa taifa iweze kubadilishwa na kuifanya iendane na wakati kwani sheria ya sasa inaangalia zaidi ile ya wakati wa cold war na haina economic espionage hata kidogo.
alieleza jinsi India na nchi nyingine zilivyoweza kunufaika kwa kuruhusu kitengo chao cha usalama kuwa na economic espionage.
Pia alizungumzia kuhusu sheria za usalama kubadilishwa ili kuwapa uwezo wa kuchukua hatua kwani sheria ya sasa inawapa kazi ya kushauri tuu na huo ndio mwisho wao.
mengine baadae.