Pinda kusoma amesoma ila huwa wanadhani wabunge wote pale hua wanasinzia na kuwa mbali kiakili wakitafakari ulafi na marupurupu yao wakayafanyie nini baada ya bunge kumalizika, kuna watu wapo makini na kila point utakayoongea mfano kina Slaa,Zitto na wengineo, hakuna kulala Zitto kaza buti mwaga yote tupo pamoja