Meremeta & TANGOLD Revealed!

tutasema sana mpaka tutachoka, nilipoleta ile hoja ya On Meremeta, wengine mliona kuwa MChungaji kanywa Zabubu iliyochacha.

Meremeta na tangold ni pesa zilizoliwa na Jeshi! This is a way to compromise so that Kiberiti hakitingishwi!

TISS walipobaini la Meremeta, wao nao wakaja na Kagoda ndani ya EPA!

All this under the table expenses is to silence amred forces due to Umasikini wa Kutupa. Thus kuhalalishwa kwa Ufisadi, Takrima na menginewe!

Kwa suala la Meremeta, I am glad Pinda pamoja na kuwa hakutoa nyeti zote, kakubali hadharani kuwa ni suala la jeshi na si kutuzuga kama Mkulo na EPA!
 
Kama vile wananchi wanavyolalamika kila siku kwanini wezi wa kuku wanauwawa halafu wa EPA wanadunda..Na huku utaratibu wa jeshi letu la polisi wa KURISAIDIA PORISI KWA UCHUNGUZI...Pale wanapokukuta umekaa meza moja na mtuhumiwa basi na wewe wanakubeba hata kama hujui kitu!

NO DOUBLE STANDARD kama ni HAKI!

IDDI SIMBA USHAIDI WOTE UNAONESHA ALIKWAPUA PESA ZA EPA KWA MSAADA WA ccm YEYE KAMA MWENYEKITI WA ccm WAZAZI.

ALITAKIWA ROKAP NA SI KAMATINI NA KULA NAYE MEZA MOJA!

NA KAMA MWEMA ANGEKUWA FAIR...BASI NA WEWE UNGERISIDIA JESHI HIRO KWA UCHUNGUZI ZAIDI!
 
Mchungaji kama "ninaria" vile kuhusu Meremeta, sasa Waziri Mkuu Pinda anawapa ukweli!
 


Unajimu ka wa Sheikh Yahya!
 
unataka wewe nani umemwajiri hapa. Kama unaushahidi nenda kafungue kesi mahakamani.

Fuatilia habari za BONGO!
Mtikila kazitoa!KUNA COALITION YA WANASHERIA,VIONGOZI WA DINI NA WAPINZANI WAKISHIRIKIANA NA BAADHI YA WAZALENDO WA ccm ya zamani.
COALITION AMBAYO KAMA BUNGE LISIPOFANYA KAZI...BASI ITACHUKUA NCHI!
MARK MA WORDS!
 


..una uhakika halijafunguliwa?
 



Zitto, we give you the benefit of the doubt. Lakini ni muhimu kumvaa Pinda ili ajue joto ya jiwe. He is a learned lawyer and should know better the effect of poor discovery. Good lucky.
 
Fuatilia habari za BONGO!
Mtikila kazitoa!KUNA COALITION YA WANASHERIA,VIONGOZI WA DINI NA WAPINZANI WAKISHIRIKIANA NA BAADHI YA WAZALENDO WA ccm ya zamani.
COALITION AMBAYO KAMA BUNGE LISIPOFANYA KAZI...BASI ITACHUKUA NCHI!
MARK MA WORDS!

spin doctor, acha kujikomba utafanyiziwa kitu mbaya na wajanja meku. Futhermore huna mamlaka ya kuniambia cha kufanya, wewe endelea kubakabaka threads, si unajua mwendo wa panzi.
 
Tena nilisahau....... kuna ka EPA kapya.....kama bilioni 8 hivi, akaunti ile ile

Account ile ile Mh. Rais aliyetoa amri isimamishwe/isitishwe?? Kazi ipo! Impunity is really a problem in TZ, such cases wouldn't be happening all the time if they were any serious repercussions!
 
Aseme ukweli kama mrema na akimaliza ajiuzulu kwa heshima ya tz.Nasi kama wanchi tutamweshimu sana yani
 
spin doctor, acha kujikomba utafanyiziwa kitu mbaya na wajanja meku. Futhermore huna mamlaka ya kuniambia cha kufanya, wewe endelea kubakabaka threads, si unajua mwendo wa panzi.

Mama hivi ni vitisho!
MODS TAFADHALI ANGALIENI HII KITU KWANI MIMI SITUMII JINA BANDIYA HALAFU KUNA WATU WANANITISHA KUWA NITAFANYIWA KITU MBAYA?
MI NAMUULIZA ZITTO MASWALI WE PILI PILI USOILA VIPI TENA?
Sina haja ya maneno!
Niliwaambia mkasome ripoti zote za ukaguzi nk!
Sasa hapa tunakata issues na wengine ni ushabiki na VITISHO?!
 

kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, jamani nafasi, kunguru mwoga anajua kuspin. Ndio ukome kabisa kujifanya kinyonga na kutafuta symphathy. He he heheeeeeeeeeeeeeeee.
 


... Pinda... He is a learned lawyer and should know better the effect of poor discovery.

Not every one who goes through law school is a learned lawyer.

Some people go to school, some people go through school.
 
Reverend... good umetukumbusha.. nimeangalia zile post zetu za mwanzo.... and I'm amazed how wakimbizi tuko karibu na ukweli kuliko walioko karibu na ukweli (whatever that means)
 
ndio maana ccm hawataki mgombea binafsi,kwani si wote waliokula hiyo meremeta,wengi wao waneiona ikimeremeta tu.
 

..hatuendi popote,tunacheza mdundiko tu. subiri ngoma ichanganye!
 
mag3 FOR PRESIDENT..KWI KWI KWI.
Uncle si utani mi huzimia sana michango yako!


Quote: by FMES
mag3 FOR PRESIDENT
Mkuu hapa sasa umeniacha hoi, ninataka kuamini unajua nani yupo nyuma hapo, yaani sina la kusema ila kucheka saaana kwi! kwi! kwi!kwi!kwi!

jmushi,

FMES yuko sahihi kabisa hapo - sina sifa -sina elimu na umri wangu ni mkubwa.

Nimekuwapo toka harakati za uhuru wa Tanganyika. Niliona mkoloni mweupe anang'olewa na God willing nitashuhudia na mkoloni mweusi akibwaga manyanga. Asichokifahamu FMES ni kuwa watu kama sisi (genuinely unadulterated na siasa za bongo) tuko wengi nchini, vijijini na mijini, na wengi wao tofauti na mimi ni kuwa bado wanauchapa usingizi mzito.

Trust me mkuu FMES sina kinyongo nawe - hunifahamu na mimi sikufahamu. The closest I ever came to being a civil servant was when the EAC collapsed in 1977. Since then my life has been hell all because of UFISADI in capital letters. I am intending to start a thread on the "wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki". Naomba samahani kwa kutoka nje ya TOPIC.
 
duh!wameanza kijisalimisha.hakuna cha kushare jina na marehemu baba wala nini.tunataka hela zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…