Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,221
- 57
Pinda has nothing to loose... nikitoa sbb nitaambiawa na mnyanyapaa....hamjui alichofanya kwenye part ya kupongezwa kuwa cheo fulani hivi miaka ya nyuma na rafikie Paul Kimiti... aibu..
...Ukiona wanapaaza sauti zao bila woga ujue hayo ni mabadiliko makubwa maana wakati wa lile dude liitwalo Mkapa walikuwa kama watoto wa shule ya msingi.
...Wakati wa Nyerere Bunge la Chama kimoja wabunge walikuwa ni waumini na Nyerere alikuwa Mungu mtu....
...This is a step forward in the awakening the peoples minds.
Ninavyoelewa mimi jambo technical ni jambo lenye ugumu wa kiufundi, kama ukimuuliza Pinda kwa mfano kuhusu mambo ya wagonjwa Muhimbili ambayo yanahitaji ujuzi wa ufundi wa kidaktari anaweza kukwambia "mimi siwezi kujibu jambo technical"
Lakini hii ni excuse kwa sababu Waziri Mkuu ana washauri wenye kujua technical detail, anaweza asiweze kujibu hapo kwa papo, lakini kama ni kitu anachotakiwa kujibu hii siyo excuse ya kutojibu, anaweza kushauriana na washauri wake.
Anatuonyesha zaidi asivyoijua kazi yake.
Maskini mafisadi wamemchukua na huyu PM wetu tuliyemuamini sana.......sasa tutakimbilia kwa nani???
ameshika shilingi.
Tanzania haikuwahi kuwa na Bunge.
Niliwahi kusema institutions zilizojengwa na Nyerere zilikuwa kazi yake ku rubber stamp his policies and sermons.
It's been a presidential one man's show all along.
Think about it: The Pindas of Tanzania ndio walikuwa wamemzunguka Nyerere na Marais wengine. Sasa huyu Mtoto wa Mkulima masikini angeweza kumwambia nini Nyerere au Mkapa jamani?
...mpaka kieleweke.
...Kama ulikuwa po bungeni angalia aliongea na kina nani jana.
Aliongea na Thomas Mwang'onda na baadhi ya watu..Hivi wamiliki wa Meremeta ni kina tena ??
On this one tuko ukurasa mmoja, hatutaacha jiwe hata moja un-turned! Waache kwanza wamalize kudanganyana huko bungeni halafu ndio tuanze kazi rasmi hapa Jambo Forum ya kuwaanika mafisadi na watoto wao, wake zao, wajomba zao, mama zao, mpaka baba zao wadogo,
Oooh yeah I said it, wote wamenufaika na this misery of our nation!
bADO CHEYO asimamia hoja na naibu spika anaitetea serikali kuwa hoja ni wizi wa meremeta bado anaendelea kushikilia shilingi.
Agoma na anasema kuwa ni afadhali serikali ikubali na iende kuliangalia hili jambo na source ya information wanayo anataka kuupata ukweli juu ya jambo hili.
waziri mkuu kasimama sasa.
waziri Mkuu Asisistiza Kuwa Hawezi Kusema Kwani Meremeta ,deepgreen Finance,nedbank,trinex Na Tangold Zote Zilikuwa Zinahusika Na Jambo Moja .
Amesema Kuwa Hawezi Kusema Ni Ulinzi Gani Wa Nchi ...no Way Thank You Pinda