FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Wote mnakaribishwa !
ahsante ila nikija tutashiba kweli maana naona kama hicho chakula kidogo
Nani ale utumbo? wakaribishe mangi wenzako!
Chakula kidogo hicho...ama kuna cha aina kingine pembeni?? FirstLady1
Nani ale utumbo? wakaribishe mangi wenzako!
yaani mchana unipite bila ugali!
yaani mchana unipite bila ugali!
no way....
vibaya hivyo rafiki unanitoa mate tu hapa mwenzio... mweeeeeee!Kumbe na wewe mpenzi wa Ugali kama mie ..mboga gani unapendelea ili siku ukinitembelea nisibakia kushangaa
Dagaa ,Matembele,Mchicha ,Kisamvu ,Kuku Choma or Majani ya kunde?
ha haaa, hapo sasa.....
Mama amdogo nimetoka kula mlo huu muda si mrefu ingawa nilipata mchicha kwa pembeni.
Mama Mdogo mapishi yako vipi? Mimi huwa naona wamama wa kisambaa wanaondoa vichwa kwenye hao wadudu
karibu hapa