Aljazeera said:Hili swala ni lizito sana labda tulianzishie mada yake pekee.
tafiti then jadili said:Hakika kwa kweli Nungwi hii habari ya haya mabilioni kilichonichangaza ni kutokuwepo na kauli yeyote toka kwa wenye mamlaka kuwa uchunguzi unaendelea au kama watafuatilia kuhusu ''wizi'' huu?!!
Kinachoshangaza kingine ni pia kutokuwepo na kauli yeyote kutoka ofisi za umoja wa mataifa kuhusu watu hao.
Kimsingi mambo yafuatayo yananishangaza:
Hivi inawezekana kweli kwa benki yenye uzoefu wa ku-operate miaka mingi namna ya NBC kuweza kuruhusu watu kufungua akaunti bila mtu husika kujulikana?nijuavyo miongoni mwa taratibu ni kupeleka picha nk sasa haya hayakufanyika?
Hata kama inaweza kuwa argued kuwa ilikuwa ni jumuiya hivyo wadhamini tu wangetosha?hivi ule utoaji fedha wa kiasi cha bilioni 39 haukuwashtua wenye benki hizi kiasi cha kuweza kufuatilia japo kuulizia kwa Mengi mwenyewe ambae taarifa ilisuggest kuwa anazo akaunti zingine benki hiyo hiyo?
Ina maanda shirika la USAID nalo pia ni la kibabaishaji au kuna mpango ulisukwa?
Taarifa zote za kukanushwa kwa mambo 'anayosingiziwa' bwana Mengi ni kubwa mno kiasi unashangaa hivi vyombo vya sheria vipo wapi?
Mbona Mengi malalamiko anayoyatoa yote yanaonekana kama ni ku-attract media coverage tu manake hatuoni suggestion ya kuwa ameripoti kituo cha polisi au kuomba msaada wa dola 'kukabiliana na uhalifu dhidi yake'
Ujambazi upo namna nyingi, katika nchi nyingi 'Fraud' licha ya kuwa ni kosa la madai 'civil offence' bali pia ni kosa la jinai na ndio tanzania anti fraud squad wapo chini ya jeshi la polisi,sasa nadhani mheshimiwa IGP Mwema nae angelivalia njuga hili, lakini kwa hali ilivyo nae akianza kulizungumzia hili la wajanja waliokula 41 bilioni itabidi Mengi 'aisaidie' polisi oops!
Sasa binafsi yangu nina tatizo kidogo na overall conduct ya Bwana Reginald Mengi, sasa hivi kuna kesi inaendelea katika kamati ya maadili ya bunge kujadili madai ya Mbunge Adam Malima kwamba televisheni ya ITV na vyombo vya habari ambavyo vinamilikiwa na reginald mengi vimekuwa vikionyesha sana habari kwa maslahi yake tu, hili nitalizungumzia kwa kirefu kesi ikishatolewa hukumu lakini kwa sasa nasikia mengi anaelekea kubaya katika kesi kwani mbunge adam malima ana concrete evidence.
Habari za ndani kabisa kutoka kwa walio karibu na huyu bwana ni kwamba amepatwa na depression mbaya sana tangu kifo cha mtoto wake Mutie na madaktari wamemshauri apumzike kwa sasa kwani amekuwa na haphazard memory lapses na imekuwa inaathiri sana decision making yake na hii ndio inapelekea kuwa na ugomvi na kila mtu kwa sasa, kuna kesi kibao mahakamani ninazozikumbuka kwa sasa ni:
1. Warioba na wenzake wawili wanadai milioni 900 kwa kukashifiwa.
2. Managing Editor wa DAILY NEWS Mkumbwa Ally anadai 1 billion
3. Yusuph Manji anadai bilioni 50 kwa kukashifiwa
4. Katika press release yao wakiclarify habari za IPPMEDIA NSSF nao wamesema wanaconsider hatua za kisheria.
Sasa hii inakupa picha kwamba sasa enzi za ubabaishaji wa Reginald Mengi zinaelekea ukingoni hususan kutokana na ukweli kuwa hivi sasa anadaiwa VAT na TRA zenye thamani ya bilioni 6 na hivi sasa mamlaka ya mapato bandarini inachunguza malalamiko ya chama cha walemavu kuwa Reginald Mengi mwaka jana kaingiza BENZ fully automatic [kila kitu kipo kwenye usukani] kwa ajili ya disable. Documents ZOTE zinaonyesha gari ni ya Chama cha walemavu. Hivyo basi kapewa excemption ushuru. Kwenye usajili kaandika jina lake!!!!! Kawazika walemavu!!!
niliyoyasikia ni mengi na yote mtayapata hapa, sasa hivi inabidi Mengi aungame manake kishawaibia sana watanzania na kuwafinika kiinimacho, sasa hivi ni ari mpya inabidi acleane his act na akapumzike kama alivyoshauriwa na madaktari...
😕Re: REGINALD MENGI MSANII?
« Reply #2 on: Today at 4:26pm » Quote Quote Modify Modify
mtu ameuliza kwa nia inayoonekana njema kabisa kuwa yale mamilioni ya Mengi Community Services yaliyoripotiwa kuwa kuna watu wanatumia jina lake yapo wapi, na akaonya kuwa isijekuwa mzee Mengi kuna watu wanataka kumchafua jina lake wewe umevamia unadai eti ni kuelekea kwenye udini na ukabila hapa nadhani mkuu Kakoza unataka kutuzuga au nyote na Kilala ni shirika moja hivyo mnaona raha kuchezea akili zetu.
To be fair kuhusu Mengi nadhani anahitaji sasa kupumzika kama alivyoshauriwa na madaktari manake nimepata habari kwa kweli kila business yake inafall into pieces kutokana na poor management ya bwana Mengi manake habari toka katika kiini hasa cha familia ni kuwa kwa muda mrefu Mengi amekuwa akikabiliwa na madeni na uchunguzi toka kila mahala na imekuwa ikimchanganya sana na huko nyuma mbinu ilikuwa ni kama idara ya serikali wanamdai pesa basi atamchafua vibaya mkurugenzi wa idara hiyo ili aogopwe na truce ipatikane sasa uongozi huu vijana wameingia na ari mpya hapendwi mtu ni maadili na uongozi bora tu basi mzee anahaha sana.
To add salt to injury, kifo cha mtoto wake Mutie miaka takriban miwili baada ya mzee kuachana na mkewe na kuamua kuishi kimada na mwanamke wake yule anaekaa pale Haidary Plaza imempa mzee huyu depression kubwa sana manake nasikia amekuwa na haphazard memory lapses ambazo zinaffect decision making kiasi saa nyingine anakuwa kama amedata hivi na hivi nasikia madaktari wanataka lazima apumzike manake the next stage ya ugonjwa wake ni wazimu!
hizi nimezitoa katika kiini kabisa kama mna access na walio karibu na mengi chekini nao...
Naam na katika upande wa magazeti yake napo hali ni mbaya sana manake kutokana na years ya poor management ambapo sasa uongozi kampa mwanawe REGINA ambae ni reknowned lesbian in town basi amekuwa na roho mbaya sana kwa staff kiasi wengi wanaondoka mmoja mmoja kutafuta uluwa kivyao manake sasa hivi mzee anaingilia mpaka editorial policies kiasi kuna makundi matatu pale ippmedia:
1. Manji
Kila shabiki wa Yanga basi wanamuona yeye anamsupport Manji hadi kufikia kuwa hii ni sababu unaweza ukaondolewa!
Mfano mzuri ni kijana wa watu maskini anaitwa Maulidi Juma ambae kwa mapenzi yake tu kwa Yanga ambayo mfadhili ni Yusuph Manji basi ameonekana ni supporter wa Manji kiasi sasa wamemtoa!
2. Mengi
Hawa ni waandishi uchwara ambao wapo radhi kubend rules na maadili ya uandishi kumridhisha mzee na wapo wengi wamejazwa THIS DAY ambapo kwa kweli wanajua kabisa wakitoka pale hawawezi kufanya kazi mashirika mengine kwa vile shule yenyewe feki!!
3. Waoga
Hawa ni wale ambao hawajatake sides na huwa hawapewi kabisa promotion kwa vile mzee hajajua wanaelemea upande upi!
Yaani ni uoza mtupu ippmedia mtu ukiwa hapo huna hamu.
Halafu mzee sasa anakabiliwa na madeni kibao, TRA wanajiandaa kumfikisha mahakamani kwa lengo la kuseize goods zake kwa vile wanamdai kodi bilioni sita!
Naam wasifu ni huu kwa sasa tutafyatua kadiri vyanzo vyetu vinavyotupasha, habari kwa kirefu punde tu!
stay tuned, mengi aungame loh kumbe jibaba mwizi hana lolote kujidai kusaidia walemavu ilhali kaingiza gari BENZ fully automatic kila kitu kipo kwenye usukani akadeclare ni gari ya walemavu ili aisilipe ushuru then kwenye registration kaandika jina lake...inachefua!!
tafiti then jadili said:Hii ni taarifa ya NSSF kwa vyombo vya habari ambayo Mengi na magazeti waliamua kuiblow out of proportion:
tafiti then jadili said:Lililo muhimu katika mijadala ni kuwa makini na unachokisema au unachoandika sasa ikiwa mtu unasikia kisha unaweka tu basi ujue kuna walakini katika negotioation skills.
I know this MZEE ES, I have been there manake story ya Ubalozi wa Holland mambo yalikuwa ni hivi as nilichukua mambo katika face value yake na kuyaweka hapa lakini niliomba radhi na nakupongeza na wewe kuendeleza spirit hii kwa kuomba radhi wanajamii hapa.
Hawea vigogo mimi naona kama ni gea tu manake hamna ukweli katika mengi unayosema, unadai hujui kwa vile upo nje ya nchi wakati hii habari ipo online tangu mwezi wa tatu! Tena IPPMEDIA wamekuwa wakiifanya kama ni episode kila wiki kwenye THIS DAY wanaweka kastori ka uongo kuhusu NSSF na kupachika hii habari,
Tafiti then jadili, that is the way to go!!
Mlalahoi said:Posting ifuatayo nimeikutauta Darhotwire forums.Ni kuhusu Mengi lakini aliyeiposti huko anaonekana dhahiri kuwa Mujahidina flani jast like huyu "Tafiti Then Jadili"
JIHADIST AGENDA?