Mengi: Natishwa

Mengi kaka yangu nakushangaa sana unavyowahi kusema kuwa "Unatishwa"
Kama ingekuwa ni kweli mara zote nne, ungetishwa tu? Si wangeshatekeleza vitisho vyao?
 

hata dk slaa aliwahi sema kuwa tatizo la huyu kijana ni ukabila na ndio sababu hupewi uongozi wowote ndani ya cdm
haijawahi kuja ishu ya mtu yeyote kuhusu mchaga yeyote usiseme na kutoa povu

mengi huwa anasema hivyo kushtua umma na vyombo vya usalama vikimhoji huwa anasema anaona ona tu
 

ya mzee mtei yamekujaje kuunganishwa na mengi kwa nini hukuleta uzi kusema ya mtei.

wafanya biashara wote kote duniani wana matatizo yao na maadui wao wa kibiashara ali wewe umemuona mengi na mtei

ben wewe ni mjinga sana kwa ishu ya ukabila umekuzidi kimo
 

Kumbe hata ma-billionaire nao huwa wanatishwa?

Anatishwa na nani sasa?

Huyu Mzee naye ni attention seeker utadhani Wema Sepetu.
 
Robot za Lumumba sometimes processor zenu huwa zinapata moto... ACACIA/BARICK, BG, Resolute, Symbion, Agreco, SONGAS, Petra Diamond et al ... Wamiliki wake wamezaliwa Magogoni... Shame on you ....

Sethi ni Mzaliwa wa Iringa, sio mgeni wa Nchi hii!
 

du! Au sioni? Kuna sehem kamtaja mtei hpo?
 


mengi mbinafsi kama hamjui,anataka anufaishwe yeye kwa niaba yetu.ameambiwa utaratibu upo,anunue hisa kupitia tpdc hataki,kama si ubinafsi huo ni nini?kiutaratatibu unapokuja kuwekeza,lazima uzamishe kiasi flani cha hela ya kwako mwenyewe kabla haujakopa bank.tpdc wanasaidia kukusanya mtaji kupitia watz ili wawe na umiliki hatimaye kwenye hayo makampuni gesi.mengi anataka apewe ye na rafiki zake akina mosha then watafute wabia wazungu wapge hela na kuanza kujivuna.akachapishe magazeti huko, mgomvi huyu jamaa na ana gubu(gugu) ni hatari.
 

Ni wapi nilikomtaja mzee Mtei?
 

Dr.Slaa alisemea wapi?
 

If a free society cannot help the many who are poor, it cannot save few who are rich - John F. Kennedy
 
Nani kamtishia ? Una uhakika katishiwa? Huyo mzee sasa anazeeka vibaya, hii mbinu yake ya Miaka nenda Lundi ya kusaka Huruma za Watanzania kwa Ugonvi wake na kwa masilahi yake Binafsi kisha kusingizia anatishiwa maisha watu wamechoka nayo.

Sema umechoka nayo,siyo watu wamechoka mayo.Hao watu uliongea nao Lini?_
 

Wakati wao ndo wauwaji wenyewe?
 
Waziri mwenye dhamana anapodai kuwa wawekezaji wa Tanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi hivyo wawekeze kwenye juice ,Matunda na Maandazi unalichukuliaje?

Hili swali lahitaji majibu aisee MSALANI
 
Last edited by a moderator:



bigup, una akili achana na watu wasiojua hila za mengi na wenzake.
 
Sure mkuu mengi ni mnafiki sana anataka upendeleo kwenye vitaru vya gesi halafu anajificha kwenye mgongo wa uzalendo eti ahurumiwe,inakuwaje mengi yeye ndiye mpiga majungu namba one eti leo atishwe huyu mzee fisadi sana hata afanye nini.

Hivi huyu Mzee ameacha ile biashara aliyoshitukiwa akatumia vyombo vyake kuwa mtoto wake anataka kushikwa NA Polisi ili awekewe au abambikiwe dawa za kulevya mfukoni? Hivi kuna Mtanzania anamwamini huyu Mzee? Huyu hana tofauti NA wahindi wanaotunyonya. Tofauti iliyopo ni ngozi tu, lakini kwa roho mbaya hana tofauti NA hao wahindi!
 

Mwanasiasa Kijana ni Masha walikua wanagombania demu hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…