Mengi na Kylin katika ubora wake

Anazeeka vibaya. Na hicho kitoto kimekaa kimasilahi zaidi...
 
Ha ha ha ha ha Mengi Kawa kibabu aisee
Kawa kabab, siyo kibabu.Ni chakula ya k-lyn! Unaona jinsi k-lyn alivyonawiri
na kupendeza? Shauri ya kabab ya dr mengi.
 

si mpaka uwe nayo (naongea generally) ukikosa hata baisikeli?
Capt Nemo, I used to like you kumbe uko tofauti na nilivyokua nakufikiria.
Wewe kama nani wa kunilazimisha nikubaliane na vile unavyoamini na kuyachukulia maisha yangu kama ya wanawake wengine?
Sikiliza,watu tuko tofauti.Sio lazima wanavyofanya wengine na mimi nifanye.Naongea na of course ninamaanisha ninachokisema.

Nashangaa wengi na wewe ukiwemo wanaponda msimamo wangu wa kukataa kua siwezi kua na babu kama Mengi kisa ana pesa na kigezo chenu ninyi ni kua hakuna mwanamke atakayeweza kukataa kua na Mengi....Huu ni ujuha wa hali ya juu.

Hahahaaa,cha kuchekesha nimesema kwa kebehi kua ni bora ni fight mwenyewe hata nimiliki starlet yangu mwenyewe na wewe ukaingia mkenge kua siwezi hata kua na baiskeli...lol
Sikiliza,narudia tena hata wewe hunijui sikujui.Wengine hatupendi kujiproud lakini maisha yetu tunayajua wenyewe.
Mind your own business.
 
Last edited by a moderator:
Kweli hii imekaa poa sana lakini tatizo ni mazoea sasa! Hapa tu nilikua nimeshaanza vile nilivyozoea mimi na wengi humu...lol
Siwezi kukosa kabisa, count me in!

 
Reactions: BAK
Hakuna dhambi mbaya duniani kama kutokuwa na hela!
 
Unaweza kua na mwanaume wa rika lako na asikuoe furaha,inategemeaaa lakin Mengi pamoja na uzee huo jaman pesa inamfanya aonekana handsome bana

Ni kweli Dinazarde sikatai lakini tatizo siwezi mama! Halafu mimi siwezi ku date na mwanaume wa rika langu ni pasua kichwa tu.
Na hata La Aziz wangu yuko kwenye early 30 zake.
So vibabu kwangu ni big NO!Na hao walionao siwezi kuwacheka maana sijui wanapata nini.
We only live once,kila mtu na aishi atakavyo.
 
Last edited by a moderator:

nifah, hapo kwenye starlet kama umengalia kwa umakini nimeweka kwenye bracket kuwa naongea generally...that means sikukutarget wewe kama wewe ina nimeongelea itakuwaje iwapo "msichana" akikosa hata baiskeli? please understand

Kuhusu hiyo post ya kwanza ni kuwa it is general too
Kama ulivyosema ni kuwa hunijui sikujui so it is wrong kuconclude kuwa nakupinga wewe..its just nasimama katika kuwa wasichana do not mean what they say na kwamba wako kifedha zaidi kiasi kwamba wanaoverlook age na vitu kama hivyo

Umetoa msimamo wako katika mambo haya..is it wrong na mtu mwingine kutoa msimamo wake? isnt this the idea behind postings in JF

We cool now?
 

Suala lililokuwepo hapa ni kwamba umeniquote mimi kama mimi ndio maana.Utasemaje ulikua unamaanisha in general? Ungeandika post yako nisingeku-quote kukuuliza kulikoni kama hao wengine walivyofanya.

Halafu naona hujanielewa nilikua namaanisha nini tokea mwanzo maana umerudia lile lile nililokua nikilipinga.Eti wasichana hawamaanishi wanachokisema.

Ujue tatizo lenu wanaume mkisha date na wasichana wawili watatu mnaona mmemaliza na wote wanafanana ndio maana mnakuja hapa kwa kujiamini na kutu-generalise wote kua tuko sawa.

Narudia tena na kwa mara ya mwisho,nimesema na ninamaanisha ninachokisema,usini-generalise.

Sawa nimeukubali msimamo wako wa kugeneralise na mimi naomba uukubali msimamo wangu wa kutonigeneralise.
 

got you...loud and clear
 
Dah, pesa mwanaharamu wallah! Nawezaje kuwa na babu kama huyo? Mhhhh bora nibaki na umasikini wangu tu.

love does not see age or money........what do you see in the picture? Love or lust for money?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…