Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh uyo mchepuko atakuwa ana phd ya mbinu za hatar sana sema kamanda ulikamatika vp bado unaendelea na ile michepuko ya kina mwajuma ndalandefu au
 
umenikumbusha mbali sana,yule dada mke wa mtu alikuwa akichat na mimi mpaka saa6 usiku. sometimes ananipa game kwenye gari yake. nilipogundua kama ni mke wa mtu nilishangaa sana aliwezaje yote yale
 
Huyo alikuelewa
 
kumbe ndo zenu
 
Dooh!

So mmeachana kabisa kabisa na hakusumbui?
 
Uza ramani ya vita mrembo
 
Michepuko 6 lol.
 
kwa mlikofikia nadhani kikubwa ni kupiga chini meenda mbali sana
 
Mbona kuhangaika kote huku..sibora usiowe uwe singo boi..au oa mke zaidi ya mmoja...huu ni usenge kujifanya faithful kumbe malaya tu na upumbafu..mtakufa kwa ngoma.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…