sonnita
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,787
- 1,920
Hii ni just one her posts, so ukiingia utajua mwenyewe pa kuanzia.

Na kwanini atulie na wewe tu? Ili agundue nini labda?Unapokuwa na mchepuko, just be aware kwamba you're in the chain. Siamini kama mwanamke anaweza kuwa mchepuko wako na akatulia na wewe tu wakati anajua kabisa una mke, I just can't buy it!
Kwanza Salam kwenu wakuu
Ninapenda kuwafahamisha wanawake/wake zetu kuwa hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko isiingiliane na shughuli za kila siku ndani ya ndoa /nyumba.
Kuna michepuko ambayo unakuta inatambua kuwa umeoa inakuwa inakutafuta siku ya dudu jeupe tuu, mingine siku ikitaka pesa.
Mingine inaelewa kuwa umeoa na inaheshimu ndoa, inasubiri mpaka uitafute wewe ndo muwe mnafanya mawasiliano.
Sasa kuna kichwa maji, bogus, Fakeni na Tablalasa; hiyo haielewi kila muda ni calls, SMS na faken shits nyingine. Kwa kiasi inakera na mara nyingi unakuta ni mafresheshers kwenye suala la kupeana utamu.
Sasa mwenzenu yamenikuta. Kuna pisi moja first year uni moja, Pisi Kali matata nikaamua kuifanyia kazi kiuzoefu nikijua ni Pro kumbe ni amateur. Nikaanza na Mikiki ya kuipagawisha kunako bed ili ilainike niikule vilivyo next time nipate Tunda isinione Fala.
Nikatumia ujuzi wangu wote kumbe Fresher. Kapagawa sasa kila siku anapiga simu na SMS za kuzidi.
Sasa imefikia hadi job anakuja. Wifey nahisi kashtukia mchezo ila kakaa kimya.
NATAFUTA HANDLER WA HUYU MCHEPUKOuyo
Mkuu huyo mchepuko mkalishe chini kwanza mpange vizuri tafuta njia nyingine ya kuchat nae,au muambie muwe mnachat kupitia emails mke wako hawezi kuchunguza kwenye emailKwanza Salam kwenu wakuu
Ninapenda kuwafahamisha wanawake/wake zetu kuwa hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko isiingiliane na shughuli za kila siku ndani ya ndoa /nyumba.
Kuna michepuko ambayo unakuta inatambua kuwa umeoa inakuwa inakutafuta siku ya dudu jeupe tuu, mingine siku ikitaka pesa.
Mingine inaelewa kuwa umeoa na inaheshimu ndoa, inasubiri mpaka uitafute wewe ndo muwe mnafanya mawasiliano.
Sasa kuna kichwa maji, bogus, Fakeni na Tablalasa; hiyo haielewi kila muda ni calls, SMS na faken shits nyingine. Kwa kiasi inakera na mara nyingi unakuta ni mafresheshers kwenye suala la kupeana utamu.
Sasa mwenzenu yamenikuta. Kuna pisi moja first year uni moja, Pisi Kali matata nikaamua kuifanyia kazi kiuzoefu nikijua ni Pro kumbe ni amateur. Nikaanza na Mikiki ya kuipagawisha kunako bed ili ilainike niikule vilivyo next time nipate Tunda isinione Fala.
Nikatumia ujuzi wangu wote kumbe Fresher. Kapagawa sasa kila siku anapiga simu na SMS za kuzidi.
Sasa imefikia hadi job anakuja. Wifey nahisi kashtukia mchezo ila kakaa kimya.
NATAFUTA HANDLER WA HUYU MCHEPUKO.
Kwenye kikao cha wanaume umekuja kumuwakilisha nani?!Na kwanini atulie na wewe tu? Ili agundue nini labda?
Mwenyekiti alinitumaKwenye kikao cha wanaume umekuja kumuwakilisha nani?!

Mi nlikua napita zangu nikasikia kelele, nikaona nichungulie hapa....Mwenyekiti alinituma![]()
Mi nlikua napita zangu nikasikia kelele, nikaona nichungulie hapa....
Sijaona mbinu za kijerumani kuficha line kwenye pmb, kuna mchepukaji kweli hapa?!!

Madame B atatoa utangulizi, utafata wewe mi ngoja nilale kwanza teh
Wanajaribu tu, inabidi tuwape mbinu maana mbinu zao za kizembe sana ndio maana wanakamatwa.
Evelyn Salt usiulize ukimya huu.Madame B atatoa utangulizi, utafata wewe mi ngoja nilale kwanza teh
Nini shida, au wale FFU wawili?Evelyn Salt usiulize ukimya huu.
Yaani hapa nina fukuto sijui kama litaisha leo.
Ngoja nilale, utangulizi utafata kesho shoga.
Afu sikuelewi ujue....
Solution..No phone calls, no sms, no WhatsApp we are just twitting our DMs
kama unampenda wifu piga chini mchepuko na kama unampenda mchepuko mpigechini wifu maana naona unampa sifa mchepukoKwanza Salam kwenu wakuu
Ninapenda kuwafahamisha wanawake/wake zetu kuwa hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko isiingiliane na shughuli za kila siku ndani ya ndoa /nyumba.
Kuna michepuko ambayo unakuta inatambua kuwa umeoa inakuwa inakutafuta siku ya dudu jeupe tuu, mingine siku ikitaka pesa.
Mingine inaelewa kuwa umeoa na inaheshimu ndoa, inasubiri mpaka uitafute wewe ndo muwe mnafanya mawasiliano.
Sasa kuna kichwa maji, bogus, Fakeni na Tablalasa; hiyo haielewi kila muda ni calls, SMS na faken shits nyingine. Kwa kiasi inakera na mara nyingi unakuta ni mafresheshers kwenye suala la kupeana utamu.
Sasa mwenzenu yamenikuta. Kuna pisi moja first year uni moja, Pisi Kali matata nikaamua kuifanyia kazi kiuzoefu nikijua ni Pro kumbe ni amateur. Nikaanza na Mikiki ya kuipagawisha kunako bed ili ilainike niikule vilivyo next time nipate Tunda isinione Fala.
Nikatumia ujuzi wangu wote kumbe Fresher. Kapagawa sasa kila siku anapiga simu na SMS za kuzidi.
Sasa imefikia hadi job anakuja. Wifey nahisi kashtukia mchezo ila kakaa kimya.
NATAFUTA HANDLER WA HUYU MCHEPUKO.
sisi hatujui kuishi kwa akili zetu je nyie mnajua kuishi kwa akilizenu tena nyie ndio mafala maana mgekuwa mnaishi kwa akili msingekamatwa na wake zenu, eti sisi hatujui kuishi kwa akili shenzi kweli wewe mama yako sio mwana mke kwa taarifa ukitukana hata mtoto wa kike ni sawa na umtukana mama yakoSiku ya kufa miti nyani huteleza. Hata mchepuko uwe na akili vipi iko siku utakupigia tuu ukiwa na mke..wanawake hata wao hawajui kuishi kwa akili zao.
Yaani, ngoja hali iwe nzuri, nitakupa mkasa kamili mwenzangu.Nini shida, au wale FFU wawili?

kuna wanawake wafatiliaji zaidi ya efubiai ase yani kimya kimyamchepuko ulijiongeza kukuokoa, hata hivyo mkeo sio mfuatiliaji sana. Mi wife hata angejibiwa hivyo angefuatilia kimya kimya kwa mda wake aje anishike red-handed sema nna machale sio ya nchi hii mara nyingi nakuaga mbele ya muda