Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Naona wachangiaji wengi humu bado ni amateurs kwenye kuchepuka, Mi ni pro kwenye michepuko, nina michepuko kama 6 hivi na yote nawasiliana nayo kwa kutumia Whatsapp any time I want, even if I'm at home.

Ni hivi: Kwenye simu yangu nina whatsapp 2, moja ni kwa ajili ya watu wangu na nyingine ni kwa ajili ya michepuko. Hii whatsapp ya michepuko nimeificha na kama itaingia msg yoyote basi itaonesha icon tu kwenye notification bar.
 
Ila ni raha sana kama Mchepuko ukijua una Mke!
Ila balaa ukiwa na Mchepuko afu ukauficha kuwa una Mke!

Sometimes una kutana na Pisi ya moto ila ina conditions nyoko, na hili muende sawa lazima uioneshe upo single ndio utakula chakula otherwise endelea na shughuli zako.
Hapo sasa ndio shida na tabu zinapo anzia na wengi wao hizo Pisi ni Wanafunzi wa vyuo,Maofisini.

Ila zile za mtaani cha muhimu ujue kuhudumia na kutuma visenti senti aaah wala hamna tabu hata ukiiblock itasubiri ui unblock...

Ila hizo za juu maweee ukitaka uikose jidai una mke nyumbani.

MIE NI PRO, NA ONE OF MY CONDITIONS HUWA SINA TIME NA KU DATE NA AMATEUR MF: STUDENTS,NA VITOTO VYA MAOFISINI...NIKIINGIA LINE ZAO BASI NAPIGA SIKU MBILI TATU BUT SIKU ZINAZO FUATA NAMTAFUTIA SABABU AU MKASA THEN NDIO FOREVER!!
 
Mie nina mchepuko wangu upo dsm .! Nashukuru hauna usumbufu nauvutia muda nije nitafute ka safari ka uongo na kweli nikamkunje kisawa sawa....!
Ile kumsukumia motooo haswaaa.

Akaniuliza mbona anasema amekosea namba wakati namba iko saved.! Ila nilimbembeleza akanielewa
Na wewe ukaamini kabisa kuwa mkeo amekuelewa na kuamini huo uongo wako? Unaijua akili ya mwanamke vizuri wewe? Dawa yako ipo jikoni
 
Huyo Ni pro mkuu.
Nimekutana na Unskilled one .....nikatumia skills zote kumpagawisha , Arooo Arooo simu haziishi now nimeblock ...na Anajua kuwa Nimeoa.

Nawaambia Tena wake zetu hakuna kazi ngumu Kama kuhandle michepuko.
Una i handle kiboya, au ni wote mmepagawa!! Au mkeo yuko fair kiasi.
 
Naona wachangiaji wengi humu bado ni amateurs kwenye kuchepuka, Mi ni pro kwenye michepuko, nina michepuko kama 6 hivi na yote nawasiliana nayo kwa kutumia Whatsapp any time I want, even if I'm at home. Ni hivi: Kwenye simu yangu nina whatsapp 2, moja ni kwa ajili ya watu wangu na nyingine ni kwa ajili ya michepuko. Hii whatsapp ya michepuko nimeificha na kama itaingia msg yoyote basi itaonesha icon tu kwenye notification bar.
Hapo WhatsApp bado amateur kula hii
Download fm WhatsApp Kuna option ya kuhide chats with password ...
Download ukishindwa kufanya mwenyewe nipo nikupe maelekezo.
 
Naona wachangiaji wengi humu bado ni amateurs kwenye kuchepuka, Mi ni pro kwenye michepuko, nina michepuko kama 6 hivi na yote nawasiliana nayo kwa kutumia Whatsapp any time I want, even if I'm at home. Ni hivi: Kwenye simu yangu nina whatsapp 2, moja ni kwa ajili ya watu wangu na nyingine ni kwa ajili ya michepuko. Hii whatsapp ya michepuko nimeificha na kama itaingia msg yoyote basi itaonesha icon tu kwenye notification bar.
Simu zenye clone app ndio zinasaidia. Unaclone WhatsApp kisha unaiweka clone kwenye vault utakuwa unatumia kwa muda wako uko. Tatizo namba ile itajulikana iko WhatsApp ila utaficha last seen na unaikana kwa wasiohusika wala huweki dp
 
Back
Top Bottom