Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Kwanza Salam kwenu wakuu

Ninapenda kuwafahamisha wanawake/wake zetu kuwa hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko isiingiliane na shughuli za kila siku ndani ya ndoa /nyumba.

Kuna michepuko ambayo unakuta inatambua kuwa umeoa inakuwa inakutafuta siku ya dudu jeupe tuu, mingine siku ikitaka pesa.
Mingine inaelewa kuwa umeoa na inaheshimu ndoa, inasubiri mpaka uitafute wewe ndo muwe mnafanya mawasiliano.

Sasa kuna kichwa maji, bogus, Fakeni na Tablalasa; hiyo haielewi kila muda ni calls, SMS na faken shits nyingine. Kwa kiasi inakera na mara nyingi unakuta ni mafresheshers kwenye suala la kupeana utamu.

Sasa mwenzenu yamenikuta. Kuna pisi moja first year uni moja, Pisi Kali matata nikaamua kuifanyia kazi kiuzoefu nikijua ni Pro kumbe ni amateur. Nikaanza na Mikiki ya kuipagawisha kunako bed ili ilainike niikule vilivyo next time nipate Tunda isinione Fala.

Nikatumia ujuzi wangu wote kumbe Fresher. Kapagawa sasa kila siku anapiga simu na SMS za kuzidi.

Sasa imefikia hadi job anakuja. Wifey nahisi kashtukia mchezo ila kakaa kimya.

NATAFUTA HANDLER WA HUYU MCHEPUKO.

Una miaka mingap?
 
Some men real dont know and cant read our minds. Hatueleweki na hatujawahi kueleweka. Yaan unadhani nikakushika halaf ukakana na kuleta sababu luluki nikakuitikia yea kwamba ndo nimemaanisha nimekuamini ama ndo unasema ukweli? Akili ya mwanamke works like a computer. Tukikaa kimya its simply because we are avoiding fights. Musituchukulie hivi poa.
Ni Nani huyo kasema tunawachukulia poa tumlambe viboko...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzenu nimewakosa wengi mno kwa kuwa mkweli, asipouliza nakauka, ila akiuliza tu lazima nimchane kuwa nina mke na watoto kadhaa, akiona infaa kunipa na anipe akiona siyo mpango aachane na mimi,

Ni kwa namna hiyo tu nimefanikiwa kuonekana mwaminifu mno kwa wife

Just sms kuwa naenda home, wote huwa wanaelewa wanabaki kimya mpaka ninapowatafuta

Iga mfano wangu hahahahha
Unao wangapi?
 
Mbona kuhangaika kote huku..sibora usiowe uwe singo boi..au oa mke zaidi ya mmoja...huu ni usenge kujifanya faithful kumbe malaya tu na upumbafu..mtakufa kwa ngoma.

#MaendeleoHayanaChama
😀😀😀😀😀
 
Ni noma mkuu, sema sijawahi kumpa sababu za kuanza kunifuatilia. Na pia niko selective sana, game nacheza na ma pro tu
Pro ipi mkuu, pro, pro min au pro max.
 
Huyo Ni pro mkuu.
Nimekutana na Unskilled one .....nikatumia skills zote kumpagawisha , Arooo Arooo simu haziishi now nimeblock ...na Anajua kuwa Nimeoa.

Nawaambia Tena wake zetu hakuna kazi ngumu Kama kuhandle michepuko.
Mkuu kama yupo Dar au Mwanza nipe huyo niwe Handler
 
Naona wachangiaji wengi humu bado ni amateurs kwenye kuchepuka, Mi ni pro kwenye michepuko, nina michepuko kama 6 hivi na yote nawasiliana nayo kwa kutumia Whatsapp any time I want, even if I'm at home. Ni hivi: Kwenye simu yangu nina whatsapp 2, moja ni kwa ajili ya watu wangu na nyingine ni kwa ajili ya michepuko. Hii whatsapp ya michepuko nimeificha na kama itaingia msg yoyote basi itaonesha icon tu kwenye notification bar.
Yaani upo mule mule kama Mimi tuu,Mimi naweza kumpa Wife simu akakaa nayo mpaka aseme basi. Hakuna kuchati kwa sms za kawaida,mwendo ni WhatsApp tuu.
 
Hujakutana na wajuvi wa masuala ya net wewe mi kwenye upekuzi sijui utanidanganya nini(internet protocal niko vzuri mno)ukizubaa nakuhack na nikitaka ni kwa namna yoyote tu , mi nilimwambia h bwashee hvi ,bwana baba m sina mda wa kuhangaika na simu yako we ni mtu mzima na isitoshe nna kazi nyingi za kufanya na nkamwambia we fanya upuuzi wako wote ila nisijue(ananielewa sana tu)
Pili nkamwambia kuna UKIMWI,homa ya ini na mengine siku ukiukwaa huko baba nakwambia utakufa kabla ya siku zako,nkamaliza basi nkamaliza m namwamwangalia tu simu yake nkiwa nashida natoa pattern kama ni mb au dakika natumia nkimaliza naweka hapo
Bado hujakutana na Malijendari
 
Huyo mchepuko lazima nae awe na kidumu, sasa sijui kati yenu nani ataitwa mchepuko. Mwanamke anahitaji mtu wa kumpa support, kuwa karibu nae..sasa kwa hali hii ya no calls, no sms wala whatsapp unadhani atakubali tu kukuangalia? Hapo mzee mnapeana zamu tu na jamaa mwingine, when you're in..someone is out!!
Hizo zote porojo,kikubwa unapiga mbupu basi.
 
Mwenzenu nimewakosa wengi mno kwa kuwa mkweli, asipouliza nakauka, ila akiuliza tu lazima nimchane kuwa nina mke na watoto kadhaa, akiona infaa kunipa na anipe akiona siyo mpango aachane na mimi,

Ni kwa namna hiyo tu nimefanikiwa kuonekana mwaminifu mno kwa wife

Just sms kuwa naenda home, wote huwa wanaelewa wanabaki kimya mpaka ninapowatafuta

Iga mfano wangu hahahahha
Kuna pisi nyingine lazima uzitembezee uongo ndio uile,ukishaila na kuichoka ndio unamsanua. Kuna Mchepuko nipo nao takribani Miaka 7 sasa na haujui kuwa nina Mke. Nafanyaje Miaka yote hiyo asijue wala kisisanuke home,hiyo ni siri ya kambi.
 
Principle yangu yangu ya kwanza lazima mchepuko ajue kuwa nimeoa na nina familia so ni juu yake kubaki au kuondoka kuna mmoja sikumwambia mara ya kwanza kuwa nina mke akaja kujua baadae akaniuliza nkamjibu ndio akanuna miez mingi tu mm na namba nkafuta ila baadae akajirud mwenyewe ila mchepuko wangu wwte ratiba yangu yote nampa na masharti kuwa simu ruksa munipigia au kunitext nikiwa kazini tuu but muda wwte nikiwa home kutoka kazin na weekend hasa jpili hakuna call wala text mpaka nkutafute mm na wanatii
 
Back
Top Bottom