Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
😅😅Noted
😅😅Noted
Kwamba awe mchepuko halafu anajua una mke, then awe faithful kwako...big NAH! Sio kwa kizazi hiki mkuu....Mkuu wapo wengi sana wa hivi.
Manundu yanakuhitaji wewe nishakuonasawa mcheps
Solution ni kuweka flight mode ukiwa na family maana huwezi kuuza bunduki ukanunue mkuki itakua ni ufala....
Cha msingi awe mvumilivu na yeye ipo siku atapanda cheo
Hiki nini mkuu*35*0000# pindi unapokua nyumbani...
#35*0000# pindi unapokua nje ya nyumbani....
Big pointUnapokuwa na mchepuko, just be aware kwamba you're in the chain. Siamini kama mwanamke anaweza kuwa mchepuko wako na akatulia na wewe tu wakati anajua kabisa una mke, I just can't buy it!
Utaalamu wa Mfalme Suleiman huu.Kwanza Salam kwenu wakuu
Ninapenda kuwafahamisha wanawake/wake zetu kuwa hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko isiingiliane na shughuli za kila siku ndani ya ndoa /nyumba.
Kuna michepuko ambayo unakuta inatambua kuwa umeoa inakuwa inakutafuta siku ya dudu jeupe tuu, mingine siku ikitaka pesa.
Mingine inaelewa kuwa umeoa na inaheshimu ndoa, inasubiri mpaka uitafute wewe ndo muwe mnafanya mawasiliano.
Sasa kuna kichwa maji, bogus, Fakeni na Tablalasa; hiyo haielewi kila muda ni calls, SMS na faken shits nyingine. Kwa kiasi inakera na mara nyingi unakuta ni mafresheshers kwenye suala la kupeana utamu.
Sasa mwenzenu yamenikuta. Kuna pisi moja first year uni moja, Pisi Kali matata nikaamua kuifanyia kazi kiuzoefu nikijua ni Pro kumbe ni amateur. Nikaanza na Mikiki ya kuipagawisha kunako bed ili ilainike niikule vilivyo next time nipate Tunda isinione Fala.
Nikatumia ujuzi wangu wote kumbe Fresher. Kapagawa sasa kila siku anapiga simu na SMS za kuzidi.
Sasa imefikia hadi job anakuja. Wifey nahisi kashtukia mchezo ila kakaa kimya.
NATAFUTA HANDLER WA HUYU MCHEPUKO.
Hujakutana na wajuvi wa masuala ya net wewe mi kwenye upekuzi sijui utanidanganya nini(internet protocal niko vzuri mno)ukizubaa nakuhack na nikitaka ni kwa namna yoyote tu , mi nilimwambia h bwashee hvi ,bwana baba m sina mda wa kuhangaika na simu yako we ni mtu mzima na isitoshe nna kazi nyingi za kufanya na nkamwambia we fanya upuuzi wako wote ila nisijue(ananielewa sana tu)Naona wachangiaji wengi humu bado ni amateurs kwenye kuchepuka, Mi ni pro kwenye michepuko, nina michepuko kama 6 hivi na yote nawasiliana nayo kwa kutumia Whatsapp any time I want, even if I'm at home. Ni hivi: Kwenye simu yangu nina whatsapp 2, moja ni kwa ajili ya watu wangu na nyingine ni kwa ajili ya michepuko. Hii whatsapp ya michepuko nimeificha na kama itaingia msg yoyote basi itaonesha icon tu kwenye notification bar.
Mie nina mchepuko wangu upo dsm .! Nashukuru hauna usumbufu nauvutia muda nije nitafute ka safari ka uongo na kweli nikamkunje kisawa sawa....!
Ile kumsukumia motooo haswaaa.
Sorry, nimeenda nje ya Maada
Ngoja nirejee kwenye maada.! Eeebhana Mchepuko ni lazima afuate utaratibu. Nikiwa home namtumia text niko home..! So No calls, No text, No Whatsapp text .! Mbona amani sana.
Siku ya kwanza nilimuweka kati nikawa sijamwambia kuwa naishi na Mtu (Mke wangu) so mimi ndio nikajichanganya nikawa nimempigia na akakuta missed calls si akanipigia wakati inaita Mke wangu akaipokea simu alfu demu nilikuwa Nimemsevu ila yeye aliposikia sauti ya mwanamke akajiongeza kasema amekosea namba .! Mke wangu akauwasha moto.! Akaniuliza mbona anasema amekosea namba wakati namba iko saved.! Ila nilimbembeleza akanielewa na Bahati mbaya tu alikuwa Period ningepiga kimoja cha make up
![]()



sijui kwanini nimecheka Haya maneno na mikwara ulikua unamwambia romantically au umekaza uso?Hujakutana na wajuvi wa masuala ya net wewe mi kwenye upekuzi sijui utanidanganya nini(internet protocal niko vzuri mno)ukizubaa nakuhack na nikitaka ni kwa namna yoyote tu , mi nilimwambia h bwashee hvi ,bwana baba m sina mda wa kuhangaika na simu yako we ni mtu mzima na isitoshe nna kazi nyingi za kufanya na nkamwambia we fanya upuuzi wako wote ila nisijue(ananielewa sana tu)
Pili nkamwambia kuna UKIMWI,homa ya ini na mengine siku ukiukwaa huko baba nakwambia utakufa kabla ya siku zako,nkamaliza basi nkamaliza m namwamwangalia tu simu yake nkiwa nashida natoa pattern kama ni mb au dakika natumia nkimaliza naweka hapo
Sikuwa serious kihivo ila pia sikuwa romantic ila niliamua kumwambia maana mimi unafiki siwezagiHaya maneno na mikwara ulikua unamwambia romantically au umekaza uso?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja Pm tuyajenge kdgoSikuwa serious kihivo ila pia sikuwa romantic ila niliamua kumwambia maana mimi unafiki siwezagi
Kama mchepuko au married?Hahahahaaa....Hii thread mbona nimeipenda..Hahahaaa.