Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Chepuka muda wa kazi(working hrs)mainly kabla ya saa 5 asubuh maana mamaa anajua upo job kukusumbua ni ngumu..simu yako block call ambazo hujazisave kwenye simu yako kwa maana namba ya mchepuko huisevu na ukitoka job una block new call number..kwishneyView attachment 1695437
 
Chepuka muda wa kazi(working hrs)mainly kabla ya saa 5 asubuh maana mamaa anajua upo job kukusumbua ni ngumu..simu yako block call ambazo hujazisave kwenye simu yako kwa maana namba ya mchepuko huisevu na ukitoka job una block new call number..kwishney[View attachment 1695434
Yaani hizi Kazi ndio siwezagi, yaani natembea nawaza kuficha kitu hata amani na akili haiwezi tulia.
 
Kupanga ni kuchagua acha open mchepuko utume sms ya kizushi wife wako aione muamze vikao na wazee..
Bora nisiwe na mchepuko niishi kwa Amani. Si vyote vizuri vitakua vyako, vingine vya wenzio tusiwe walafi kupindukia.
 
Nikweli but... wengine wanashangaa Wewe kushangaa wao kuwa na Wanawake nje ya ndoa zao...

Yaaani Ni Kama wamehalalisha hivi

Honestly speaking, Kuwa na mchepuko ni kosa na isiwe halali kuwa namchepuko. Ujue mimi nina wivu kinyama huwa nikitaka kuwa na msichana namwambiaga mapema kama hawezi ku abide na mimi pekee angu basi tusiendelee. I am very loyal guy, i have always struggling kuishinda hiyo hali ya kutaka kuwa na mwanamke mwingine nikiwa tayari nina msichana. Huyu niliye naye sijamcheat kusema ukweli..! Ninanyo andikaga humu ni Mastori ya kuchangamsha jamvi.!
Kuacha kuchepuka ni struggle ambayo inahitaji msaada kutoka upande wa pili ambako huwezi hata kuthubutu kusema akusaidie au anisaidie niache kuwaza kuwa na msichana nje ya yeye. It is not that easy, ukizingatia wasichana siku hizi wanavyojua kuoga na kupendeza daaah alfu ukute anachura
 
Mie nina mchepuko wangu upo dsm .! Nashukuru hauna usumbufu nauvutia muda nije nitafute ka safari ka uongo na kweli nikamkunje kisawa sawa!

Ile kumsukumia motooo haswaaa.

Sorry, nimeenda nje ya Maada
Ngoja nirejee kwenye maada! Eeebhana Mchepuko ni lazima afuate utaratibu. Nikiwa home namtumia text niko home! So No calls, No text, No Whatsapp text! Mbona amani sana.

Siku ya kwanza nilimuweka kati nikawa sijamwambia kuwa naishi na Mtu (Mke wangu) so mimi ndio nikajichanganya nikawa nimempigia na akakuta missed calls si akanipigia wakati inaita Mke wangu akaipokea simu alfu demu nilikuwa Nimemsevu ila yeye aliposikia sauti ya mwanamke akajiongeza kasema amekosea namba! Mke wangu akauwasha moto !

Akaniuliza mbona anasema amekosea namba wakati namba iko saved! Ila nilimbembeleza akanielewa na Bahati mbaya tu alikuwa Period ningepiga kimoja cha make up

Huyo mchepuko wako nimempnda hata bado sijamuona, ka react kama Lady kabisa sio msichana.
 
Wakuu we chepuka tu!!
But fanya ufanyavyo usije ukachepuka na mchepuko wenye akili nyingi...
Ipo siku utakuja kujuta na kujiona mjinga sana..
Nilikua najionaga PRO, MAMBA na majina yote ila nikaja nikakutana na nyangumi... aliniyumbisha kifamilia mpaka nikajuta...

Inshort..
Nilipata Pisi moja ya ki A-TOWN ... iko vizuri kila idara halafu haina njaa kabisa ya hela coz familia bora na yenyewe inamishe zake mjini inaishi fresh...
Kutokana na hali ya uchumi wa kati na +ubahiri wa chini ya mlima ... nikaona nimeokota nazi chini ya mwembe...
nikaanza kuteleza nayo ikanogewa ..bila nguvu ikawa inafata sheria zote... kumbe inanikusanyia ushahidi na taarifa ili inimalize...
kidume nikazama nikaona nimefik... kumbe hii pisi huwa inanakili taarifa zangu muhimu na kila kitu ndani ya miezi 8 ... akawa ameshapata kila kitu kuanzia namba za wifu na anaishu gani town...
weekend moja nilikua tyt kishenzi kihome home coz kulikua na kaugeni toka kwa wakwe so nikawa niko tyt full,.. nikasahau kumcheki... nikashinda full day jmosi na j2 niko na wife bampa to bampa... usiku kama saa 4 j2 akanicheki kwa kunicall nikakata na kuzima simu...
hapo nikawa nimejipalia makaa..

Akamcall wife akamwambia naomba kuongea na flani,,, nilimpa jina langu maarufu.. wife akasema hamjui labda kakosea namba. demu kwambia hajakosea.. kama vp amwambie mme wake awashe simu paliwaka .. huku na huku kidume nikaambiwa niwashe simu nikamwonyesha simu ipo on mbona.
wacha wife amwogeshe matusi huyo demu... demu akamwambia akubali tu kuwa yeye ni mke mdogo aondoe stress coz yeye anamjua siku nyingi...
mi nikaruka mita mia na kujiapiza simjui .. na wife akawa anatafuta ushahidi kuwa kweli huyo demu ni wangu kuanza kumhoji ndio alimwaga vizibitisho vyote...
MIXER kumpa ratiba zangu zote tata ambazo tuikua tunaenda kukutana nae...
na details za mwili toka kwenye nywele mpaka unyayo..
ili kua nikama mwezi wa drama ..
kesho yake nikamtafuta nimzingue demu ananiambia yeye ni mke mdogo so anahaki ya kujuliwa hali kama kawaida tena ikiwezekana apate na ratiba ya kulala kwake full sio kuiba iba..

yan ilikua ni shida mpaka imefika mwisho naachana nae ilikua nitaabu

kuanzia hapo nachepuka na mademu ambao hawawezi kunipa shida .
mostly napenda zile za hit and run hakuna makazi
 
Huyo ni pro mkuu.

Nimekutana na Unskilled one, nikatumia skills zote kumpagawisha, Arooo Arooo simu haziishi now nimeblock. Na Anajua kuwa Nimeoa.

Nawaambia Tena wake zetu hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko.
Sasa unakuwa nayo ya nini kama ni kazi huwa handle 🙄🙄
 
Ukiijua saikolojia ya mwanaume husika ishu inakuwa nyepesi sana kudeal na wanaume wenye michepuko, usitumie hasira kabisa mbona unampangia matukio tu ya kiakili mpaka anasanda mwenyewe, mbinu zangu nikizitumia kwa mwanaume yeyote yeye mwenyewe ataomba talaka, anikimbie au ajiue
 
Ila ni raha sana kama Mchepuko ukijua una Mke!
Ila balaa ukiwa na Mchepuko afu ukauficha kuwa una Mke!

Sometimes una kutana na Pisi ya moto ila ina conditions nyoko, na hili muende sawa lazima uioneshe upo single ndio utakula chakula otherwise endelea na shughuli zako.
Hapo sasa ndio shida na tabu zinapo anzia na wengi wao hizo Pisi ni Wanafunzi wa vyuo,Maofisini.

Ila zile za mtaani cha muhimu ujue kuhudumia na kutuma visenti senti aaah wala hamna tabu hata ukiiblock itasubiri ui unblock...

Ila hizo za juu maweee ukitaka uikose jidai una mke nyumbani

MIE NI PRO, NA ONE OF MY CONDITIONS HUWA SINA TIME NA KU DATE NA AMATEUR MF: STUDENTS,NA VITOTO VYA MAOFISINI...NIKIINGIA LINE ZAO BASI NAPIGA SIKU MBILI TATU BUT SIKU ZINAZO FUATA NAMTAFUTIA SABABU AU MKASA THEN NDIO FOREVER!!

Hivi muda standard wa kuwa na mchepuko baada ya kuoa ni upi? Naona bila michepuko maisha yanakuwa magumu haswa ukizingatia hawa viumbe wanaota mapembe na kujisahau baada ya kuwa na watoto.
 
Back
Top Bottom