Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Mimi nimelipa password.Ili tuwasiliane lazima aanze na kunitumia neno "MAMBO? mimi nikijibu POA ujue karuhusiwa tuwasiliane nipo free ila nikijibu FRESHI ujue nipo na mama mtawala.Pia nimemtisha kuwa mama mtawala akijua kuhusu sisi basi jua ndo mwisho wa mahusiano yetu. Kifupi kaupenda mchezo tupo nae tunasebenza nae
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Hakuna njia rahisi kama kuweka majina fake ya mchepuko.

Mfano .
-- DAWASA.
-- LUKU.
--AIRTEL
-- TIGO.
-- VODA COM.
--TCRA.
--TANESCO.

mwanamke yeyote akiona SMS hyo inaingia wala hashughuliki.
LUKU ikituma sms kuwa HAIONI SIKU ZAKE NDO UTAELEWA
 
Kuna mtu kakuta chupi kwenye suruali ya mume
Mwingine kaambiwa kwani we huna ex wako
Yani vituko mpaka nimewaza hivi kwanini wanaume wanaoa kama wanasumbua wanawake kiasi hicho
Daaa umenikumbusha nilienda kumpitia janaa yangu kwake kwa sababu mimi nina gari ye hana mke akabariki tukaenda batani(kwenye mipombe yetu) daaa jamaa kaopoa demu jumlisha na kulewa si kanigomea kurudi home.Aloo tukio limetokea ijumaa ya kuamkia jmos ya tarehe 4 September 2021 jamaa karudi kesho yake asubuhi na nguo mpya.Hapa nilipo nimepata kesi na nimenuniwa na shemu aisee.
 
Tuanzie hapa, Kwa nini unakuwa na michepuko wakati una mke? Hakutoshi?
Michepuko mingi inachangiwa na tabia za gubu,uchafu,kuzoea ndoa,gubu,uvuvuzela,kuoa tabia bila kujali shape, distance,nyege,uvivu wa mke kitandani.Kmmke yapo mengi mno
 
Mimi nanunua Malaya, Uzuri Malaya hasumbui. Unamlipa Chake anasepa. No usumbufu mpaka raha yani. Msiniambie Habari za Ukimwi. Hakuna Malaya anakubali Kavu.
Malaya mi siwezagi kudinda
 
Nacheka sana coment za humu heehee nilikua sijui kama huwa mnapata wakati mgumu kuhandle mcheps
 
Back
Top Bottom