hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,534
- 73,803
Welcome mamaaUtawaacha wangapi mumy kwa kesi za kuchepuka Kama hizo
Mfano mchepuko umekutafuta umejitambulisha na ushahidi juu ukimuacha huoni unampa nafasi huyo mchepuko![]()

Welcome mamaaUtawaacha wangapi mumy kwa kesi za kuchepuka Kama hizo
Mfano mchepuko umekutafuta umejitambulisha na ushahidi juu ukimuacha huoni unampa nafasi huyo mchepuko![]()

Tuachike mtubatize majina mapya eeh..maana hamkawii

wewe unaishi Duniani kwaajili ya kuogopa pressure ya jamii .. !!! Ukiishi hivyo it's kucost Sana maana binaadamu hawana jema ..Ishi maisha yako no matter what people's sayMambo yako hivyo pande zote 2 ... Kuna wanaume pia Wana sumbuliwa na wanawake kila kukicha ... Ila nikwakuwa wanaume hatunaga desturi ya kuongea mambo yetu hadharani kwa kuwa huwa tunatafasiri kwamba tutaonekana wadhaifu so hiyo Hali inapelekea jamii kutotambua ukubwa wa changamoto zinazo tuzunguka ktk mahusianoKuna mtu kakuta chupi kwenye suruali ya mume
Mwingine kaambiwa kwani we huna ex wako
Yani vituko mpaka nimewaza hivi kwanini wanaume wanaoa kama wanasumbua wanawake kiasi hicho
Watu wanauza siri za kambi.! Uzuri Mke wangu sijui yumo humu au lah..! Ila mimi natumiaga ID za kumi so anaijua moja nyingine huwa nam stalk kimya kimya akijua kibenten kimejilengesha
![]()

Umenikumbusha kisa flani hivi kilimkuta jamaa.alikua na michepuko miwili, na alikua anajisifu kwamba anaihandle fresh tu. Sasa kumbe wife wake alishashtukia mchezo siku nyingi.
Alitengeneza urafiki na moja ya mchepuko wa mumewe na akawa anamuuliza namna ya kudeal na mume wa mtu ( ikumbukwe mchepuko alikua hamjui wife wa jamaa, ila alikua anajua tu kaoa). Ushosti ukakolea na mchepuko ulimsaidia wife wa jamaa kua pro katika kuchepuka na waume za watu.
Siku moja wife wa jamaa alimualika huyo shost nyumbani kwake. Mchepuko ukaaga kwa jamaa kwamba anaenda kwa rafiki yake na atalala huko ( alimsimulia pia namna huyo rafiki yake alivyo pro kwenye kuchepuka na waume za watu na moja ya mchepuko wake alikua mtu mzito jeshini)
Wife wa jamaa anamwambia mumewe kwamba kuna rafiki yake atakuja kumsalimu na atalala. Jioni jamaa anarudi home anakuta mchepuko na wife wako jikoni wanapiga story, wife anamtambulisha yule shosti kwamba yule ni mume wake!
Aiseee jamaaa alipaniki na alikosa uvumilivu.akamvamia wife na kumshushia kipigo heavy nusura auwe!
Jamaa akaishia jela, 3 years akatumikia. Ametoka mwaka jana disemba na ndo akanipa story nini kilitokea.
MAKE SURE YOU CHEAT SMART. WANAWAKE WENGINE NI MAFIA BALAA

akili Hana huyo jamaaZaidi ya Mafia dahh
jela 3 years!!
mkewe kajiachia kiasi gani huku nje kipindi cha kifungo?
Muosha kweli huoshwa

kachapiwa mpaka Basi yaaniAfya ya mchepuko wako...inauhusiano na Yakwako...Akichepuka mchepuko..akapata maradhi ..mkeo nae kapata ...Akishakuwa mchepuko you don't need to care kuhusu yeye kuwa na mtu or watu wengine atajijua mwwnyewe na balaa lake ilimradi yeye akupe utamu tu then maisha ya endelee
Mpe mpenzi wako mahaba ila asikutese tese sijui jeuka huku 😅😅Ntamuabisha ukoo mzima na nitachukua vizibiti vyote ntajitahidi kufatilia na kuvipata then ntaenda kanisani kwa baba paroko ndoa ivunjwe. Kwa sababu ndoa itavunjika tuu ikiwa kuna uzinzi umefanyika. Shida ni kwamba huwa tunawaza watoto mara familia ila hatuwazi magonjwa,mateso kwa familia ikiwa huyo mchepuko atamchukua akili mazima huyo baba. Na itabaki kuwa aibu kwake maana itajulikana alikua na mke ila hakua mwaminifu.
Mkuu baada ya hapo ndoa iliendelea kuwepo?Umenikumbusha kisa flani hivi kilimkuta jamaa.alikua na michepuko miwili, na alikua anajisifu kwamba anaihandle fresh tu. Sasa kumbe wife wake alishashtukia mchezo siku nyingi.
Alitengeneza urafiki na moja ya mchepuko wa mumewe na akawa anamuuliza namna ya kudeal na mume wa mtu ( ikumbukwe mchepuko alikua hamjui wife wa jamaa, ila alikua anajua tu kaoa). Ushosti ukakolea na mchepuko ulimsaidia wife wa jamaa kua pro katika kuchepuka na waume za watu.
Siku moja wife wa jamaa alimualika huyo shost nyumbani kwake. Mchepuko ukaaga kwa jamaa kwamba anaenda kwa rafiki yake na atalala huko ( alimsimulia pia namna huyo rafiki yake alivyo pro kwenye kuchepuka na waume za watu na moja ya mchepuko wake alikua mtu mzito jeshini)
Wife wa jamaa anamwambia mumewe kwamba kuna rafiki yake atakuja kumsalimu na atalala. Jioni jamaa anarudi home anakuta mchepuko na wife wako jikoni wanapiga story, wife anamtambulisha yule shosti kwamba yule ni mume wake!
Aiseee jamaaa alipaniki na alikosa uvumilivu.akamvamia wife na kumshushia kipigo heavy nusura auwe!
Jamaa akaishia jela, 3 years akatumikia. Ametoka mwaka jana disemba na ndo akanipa story nini kilitokea.
MAKE SURE YOU CHEAT SMART. WANAWAKE WENGINE NI MAFIA BALAA
Hongera Mkuuu....yanini mchepuko..wakati watu wamejijiri kupitia nyuchi zaoMimi nanunua Malaya, Uzuri Malaya hasumbui. Unamlipa Chake anasepa. No usumbufu mpaka raha yani. Msiniambie Habari za Ukimwi. Hakuna Malaya anakubali Kavu.
Noma sana mkuu, una uzoefu wa kutoshaAkishakuwa mchepuko you don't need to care kuhusu yeye kuwa na mtu or watu wengine atajijua mwwnyewe na balaa lake ilimradi yeye akupe utamu tu then maisha ya endelee

Wewe wasemaKuna kitu gani kipya kinapatikana kwa mchepuko na kukosekana kwa mke!!...kwa upande wangu hakuna kipya zaidi kero tu majuto, nimeacha mambo hayo kitambo sana baada ya kuona ni hasara badala ya faida, kama mbunye ni ileike cha muhimu nikuwa mbunifu tu na mkeo utamuona mpya kila siku.