Hahahahaha.....Bahati mbaya tu alikuwa Period ningepiga kimoja cha make up![]()
Muungwana hawezi kumuombea mwingine ugonjwa, kumbuka ukiombacho kwa mwenzio Mungu hutanguliza kukupatia wewe kwanza!Subir ukimwi nayenyew sita inamichepuk na njia kuu zao
Hahaha kuwa makini.Watu wanauza siri za kambi.! Uzuri Mke wangu sijui yumo humu au lah..! Ila mimi natumiaga ID za kumi so anaijua moja nyingine huwa nam stalk kimya kimya akijua kibenten kimejilengesha
![]()
Ni sifa kwako na kwake au? Nikikua mara ngapi? acheni kuwajaza ujinga hao wapenda michepuko..Any way hata kama siwezi kufanya lolote but at least onyesha hupendi ujinga huoUkikua utaelewa
Kwa africa hii ni wastage of time
Ni sifa kuwa na michepuko sio fedheha
dawa ni kuendelea na 'yako'..
Inaitwaje page yake dear hahahahInstagram mumy
Yani kuna mada huko za ma ex,wanawake wanafunguka kuhusu ndoa zao♀️wanaume hawa walahi usijiumize kabisa kutaka kupambana na michepuko utajichosha
Watu wanauza siri za kambi.! Uzuri Mke wangu sijui yumo humu au lah..! Ila mimi natumiaga ID za kumi so anaijua moja nyingine huwa nam stalk kimya kimya akijua kibenten kimejilengesha
![]()

Mkuu tafuta kisimu kidogo na laini mpya ukifika home unakazima
Au tafuta laini ya ziada ukifika home unaitoa mbona simple mkuu
Sina mcgepuko Mke wangu pombe
Approach unayotaka kutumia ndio tatizo..itakufelishaNi sifa kwako na kwake au? Nikikua mara ngapi? acheni kuwajaza ujinga hao wapenda michepuko..Any way hata kama siwezi kufanya lolote but at least onyesha hupendi ujinga huo
Yaani mchepuko yupo chuo na Twitter haifahamuSasa unakuta hata hiyo Twitter haifahamu mkuu...
Siyo Kila mchepu Ni akili kubwa ..
Mimi nina fm WhatsApp inanisaidia kiasi Ila kwa huyu dah Ni msumbufu .
Nawaza kupiga chini



Unaruhusiwa pia kuchangia.
Alafu wewe Ni mchepuko?
Kama ndiyo Ni Professional au amateur?



Na anabembeleza penzi kwa mchizi ile mbaya .. na mchizi hamuelewi Wala NiniAlfu unakuta mke wako naye ni mchepuko wa Mshikaji mwingine huko kitaaa
![]()



Huo ndio ukweli ..Unapokuwa na mchepuko, just be aware kwamba you're in the chain. Siamini kama mwanamke anaweza kuwa mchepuko wako na akatulia na wewe tu wakati anajua kabisa una mke, I just can't buy it!


Nipe za Huyo mchepuko mkuu nikusaidie kumpa ushauri ili asikugande gandeLabda nikupe za huyu mchepuko
Hiyo kwa sisi majasusi inafahamika ila kwakuwa nimeacha umalaya hizo mambo sizifanyiHapo WhatsApp bado amateur kula hii
Download fm WhatsApp Kuna option ya kuhide chats with password ...
Download ukishindwa kufanya mwenyewe nipo nikupe maelekezo.
Akishakuwa mchepuko you don't need to care kuhusu yeye kuwa na mtu or watu wengine atajijua mwwnyewe na balaa lake ilimradi yeye akupe utamu tu then maisha ya endeleeHuyo mchepuko lazima nae awe na kidumu, sasa sijui kati yenu nani ataitwa mchepuko. Mwanamke anahitaji mtu wa kumpa support, kuwa karibu nae..sasa kwa hali hii ya no calls, no sms wala whatsapp unadhani atakubali tu kukuangalia? Hapo mzee mnapeana zamu tu na jamaa mwingine, when you're in..someone is out!!
Shauri yake'Punguza munkari Mama,hii Dunia sivyo unavyoifahamu wewe. Utakufa kwa pressure kwa mambo marahisi.


