Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Highly classified information
Unazuia calla na text zisiingieHiki nini mkuu
Huyo mchepuko lazima nae awe na kidumu, sasa sijui kati yenu nani ataitwa mchepuko. Mwanamke anahitaji mtu wa kumpa support, kuwa karibu nae..sasa kwa hali hii ya no calls, no sms wala whatsapp unadhani atakubali tu kukuangalia? Hapo mzee mnapeana zamu tu na jamaa mwingine, when you're in..someone is out!!Mie nina mchepuko wangu upo dsm .! Nashukuru hauna usumbufu nauvutia muda nije nitafute ka safari ka uongo na kweli nikamkunje kisawa sawa....!
Ile kumsukumia motooo haswaaa.
Sorry, nimeenda nje ya Maada
Ngoja nirejee kwenye maada.! Eeebhana Mchepuko ni lazima afuate utaratibu. Nikiwa home namtumia text niko home..! So No calls, No text, No Whatsapp text .! Mbona amani sana.
Siku ya kwanza nilimuweka kati nikawa sijamwambia kuwa naishi na Mtu (Mke wangu) so mimi ndio nikajichanganya nikawa nimempigia na akakuta missed calls si akanipigia wakati inaita Mke wangu akaipokea simu alfu demu nilikuwa Nimemsevu ila yeye aliposikia sauti ya mwanamke akajiongeza kasema amekosea namba .! Mke wangu akauwasha moto.! Akaniuliza mbona anasema amekosea namba wakati namba iko saved.! Ila nilimbembeleza akanielewa na Bahati mbaya tu alikuwa Period ningepiga kimoja cha make up
![]()
FOR YOU AM READYManundu yanakuhitaji wewe nishakuona
Aaah,huku hakujengeki
Flight mode? Are you serious? Labda uende kwa setting.. connections.. ukaweke off SIM network. Ukiweka flight mode umeumia!Solution ni kuweka flight mode ukiwa na family maana huwezi kuuza bunduki ukanunue mkuki itakua ni ufala....
Cha msingi awe mvumilivu na yeye ipo siku atapanda cheo
HOW?Flight mode? Are you serious? Labda uende kwa setting.. connections.. ukaweke off SIM network. Ukiweka flight mode umeumia!
Naona wachangiaji wengi humu bado ni amateurs kwenye kuchepuka, Mi ni pro kwenye michepuko, nina michepuko kama 6 hivi na yote nawasiliana nayo kwa kutumia Whatsapp any time I want, even if I'm at home. Ni hivi: Kwenye simu yangu nina whatsapp 2, moja ni kwa ajili ya watu wangu na nyingine ni kwa ajili ya michepuko. Hii whatsapp ya michepuko nimeificha na kama itaingia msg yoyote basi itaonesha icon tu kwenye notification bar.





OnlyNo phone calls, no sms, no WhatsApp we are just twitting
Umekuja kule kule nilipoenda.Hapo WhatsApp bado amateur kula hii
Download fm WhatsApp Kuna option ya kuhide chats with password ...
Download ukishindwa kufanya mwenyewe nipo nikupe maelekezo.
Hakuna haja ya clone! Kuwa na namba mbili tofauti, moja maalum tu kwa ajili ya michepuko, shida iko wapi!Simu zenye clone app ndio zinasaidia. Unaclone WhatsApp kisha unaiweka clone kwenye vault utakuwa unatumia kwa muda wako uko. Tatizo namba ile itajulikana iko WhatsApp ila utaficha last seen na unaikana kwa wasiohusika wala huweki dp
Ingia kwenye anga yangu uone kama utagundua kitu.Hujakutana na wajuvi wa masuala ya net wewe mi kwenye upekuzi sijui utanidanganya nini(internet protocal niko vzuri mno)ukizubaa nakuhack na nikitaka ni kwa namna yoyote tu , mi nilimwambia h bwashee hvi ,bwana baba m sina mda wa kuhangaika na simu yako we ni mtu mzima na isitoshe nna kazi nyingi za kufanya na nkamwambia we fanya upuuzi wako wote ila nisijue(ananielewa sana tu)
Pili nkamwambia kuna UKIMWI,homa ya ini na mengine siku ukiukwaa huko baba nakwambia utakufa kabla ya siku zako,nkamaliza basi nkamaliza m namwamwangalia tu simu yake nkiwa nashida natoa pattern kama ni mb au dakika natumia nkimaliza naweka hapo
Alwatani buji buji katika ubora wakeNo phone calls, no sms, no WhatsApp we are just twitting
EndeleaNaruhusiwa kuwa msomaji comments?
MarriedKama mchepuko au married?