Umenikumbusha kisa flani hivi kilimkuta jamaa.alikua na michepuko miwili, na alikua anajisifu kwamba anaihandle fresh tu. Sasa kumbe wife wake alishashtukia mchezo siku nyingi.
Alitengeneza urafiki na moja ya mchepuko wa mumewe na akawa anamuuliza namna ya kudeal na mume wa mtu ( ikumbukwe mchepuko alikua hamjui wife wa jamaa, ila alikua anajua tu kaoa). Ushosti ukakolea na mchepuko ulimsaidia wife wa jamaa kua pro katika kuchepuka na waume za watu.
Siku moja wife wa jamaa alimualika huyo shost nyumbani kwake. Mchepuko ukaaga kwa jamaa kwamba anaenda kwa rafiki yake na atalala huko ( alimsimulia pia namna huyo rafiki yake alivyo pro kwenye kuchepuka na waume za watu na moja ya mchepuko wake alikua mtu mzito jeshini)
Huyo jamaa nae fala.. utampigaje wife wakati we ndio umezingua?
Wife wa jamaa anamwambia mumewe kwamba kuna rafiki yake atakuja kumsalimu na atalala. Jioni jamaa anarudi home anakuta mchepuko na wife wako jikoni wanapiga story, wife anamtambulisha yule shosti kwamba yule ni mume wake!
Aiseee jamaaa alipaniki na alikosa uvumilivu.akamvamia wife na kumshushia kipigo heavy nusura auwe!
Jamaa akaishia jela, 3 years akatumikia. Ametoka mwaka jana disemba na ndo akanipa story nini kilitokea.
MAKE SURE YOU CHEAT SMART. WANAWAKE WENGINE NI MAFIA BALAA