TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,211
- 13,053
mie nikiwa na kampan za hivyo nikiona wanatazamana kulipa bill namuuliza tu mhudumu mimi binafsi unanidai sh ngapi. najilipia nakaa kimya.
Duh..
We kweli Kauzu.
mie nikiwa na kampan za hivyo nikiona wanatazamana kulipa bill namuuliza tu mhudumu mimi binafsi unanidai sh ngapi. najilipia nakaa kimya.
Think outside the box once in a while! Unadhani angempa mkewe hio 150000 ndo matatizo yangeisha ndani!? Thubutuuuuuuuuu! Hahaaaaa! Inafika mahali tunaishi ndani kama ndege tunduni tu! Kufoulisha foulisha tu! Ujana ndo huu raha ule ukizeeka?