Men:One of Our selfish moments

Men:One of Our selfish moments

Dadekiiii nikishakuwaga nazo huwa natumia hela tu.
Usiwaze sana ,katafute zingine.

kama vile hujamuelewa vzr tatizo sio kuspend ila kuspend hela zote afu nyumbani hajaacha kitu kajikamua kaacha buku nane serious???
 
tatizo watu wakishakunywa mbili tatu wanataka kuweka STATUS juu!
 
mmmh!! kuwafurahisha marafiki huku familia inataabika sio fresh. bili ikija inatakiwa mnachangia, kila mtu anazama mfukoni sio kutegeana. mie nikiwa na kampan za hivyo nikiona wanatazamana kulipa bill namuuliza tu mhudumu mimi binafsi unanidai sh ngapi. najilipia nakaa kimya.
 
ha ha ha kulipa bill yote sio ishu huenda ndo ilivo leo huyu kesho yule ila hapo kwenye kufurahisha genge af nyumbani hakuna kitu duuuh ufa.lah....
 
Kula maisha kufa kwajaaaaa kijanaaa! WE UNAFIKIRI MATATIZO YA HOME YANAISHAGAAA.? Thubutuuuuuuu! Likitoka hili linaingia lile! Faidi maisha baba! WHEN YOU ARE SEVENTY ALL YOU HAVE LEFT WILL BE MEMORIES! Make them count! Kama sahivi naumwa nikikumbuka bata nilizokula when i was 17 to 23 aaaaaah! Usingizi wanijiaaaa! Ningekuwa naendekeza matatizo ya home ningekumbuka nini? Looooh!

hahahaaaa wewe mdada
 
ha ha ha kulipa bill yote sio ishu huenda ndo ilivo leo huyu kesho yule ila hapo kwenye kufurahisha genge af nyumbani hakuna kitu duuuh ufa.lah....

halafu katika hizo hizo zamu za kulipa bill kuna wazugaji wengi. mtu anamute kiasi kwamba wengine mnaskia aibu mnazama mifukoni. kuna wazugaji flani nilikuwaga nao mahali, ikifika zamu ya kulipa bili wanaanzaa kudaiana madeni. ooh, lipa ile nnayokudai. siku ya kwanza niliona kawaida, heee mchezo ukawa unaendelea. mie nikawa nalipa changu natulia tulii.
 
hahahaaaa wewe mdada
Think outside the box once in a while! Unadhani angempa mkewe hio 150000 ndo matatizo yangeisha ndani!? Thubutuuuuuuuuu! Hahaaaaa! Inafika mahali tunaishi ndani kama ndege tunduni tu! Kufoulisha foulisha tu! Ujana ndo huu raha ule ukizeeka?
 
halafu katika hizo hizo zamu za kulipa bill kuna wazugaji wengi. mtu anamute kiasi kwamba wengine mnaskia aibu mnazama mifukoni. kuna wazugaji flani nilikuwaga nao mahali, ikifika zamu ya kulipa bili wanaanzaa kudaiana madeni. ooh, lipa ile nnayokudai. siku ya kwanza niliona kawaida, heee mchezo ukawa unaendelea. mie nikawa nalipa changu natulia tulii.
ha ha ha raha wanazitaka ila vyombo hawana sipati picha mtu kishatupia lager jicho jekundu af mda wa kulipa anaanza kudai madeni yake ha ha ha funny!!!!
 
kama vile hujamuelewa vzr tatizo sio kuspend ila kuspend hela zote afu nyumbani hajaacha kitu kajikamua kaacha buku nane serious???

We acha tu...Nimejionaje good for nothing!
 
Duh

Weka heshima baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Nyumbani wakilalia maji no sweat

Kweli hii ni selfish moment
 
I read it nadhani kipindi hiko.
Mkuu mimi siyo irresponsible. Imetokea hivyo kwa sababu sikukeep track ya hela kwa mwezi huu. Nikaona niwashirikishe, kwa sababu sidhani kama mimi ni baba wa kwanza kufanya hivyo. And regretfully I might not be the last.

Shit happen somentimes....

Sio wa kwanza

Mradi umeligundua hilo na usilirudie tena....
 
ha ha ha raha wanazitaka ila vyombo hawana sipati picha mtu kishatupia lager jicho jekundu af mda wa kulipa anaanza kudai madeni yake ha ha ha funny!!!!

yaani vituko vitupu.. hadi natamani wakati wa kulipa bill ufike nianze kucheka hivo vioja vyao. kuna siku tulikuwa tunapita mahali tukasimama tununue vitu vya kutafuna. basi mmoja akamuita mwenzie pembeni.. kurudi wakakuta nishalipa na vitu tayari. wakanambia jamaa kaniita pemben ananambia tutembee tembee tukirudi tutakuta ushalipa bili. lol.
 
Back
Top Bottom