PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,995
- 2,017
Ilikuwa ijumaa ambayo tulidhamiria kuspend na marafiki na familia. Jioni baada ya kazi, nafika eneo la tukio kwa wengi kila mtu yuko na mkewe (Moja). Nakumbuka kumpigia wife simu.
Akaniambia yuko home na kwa jinsi majukumu yalivyombana hatoweza kutoka. Basi ikabidi nikakaa tukaendelea na stori, vinywaji na msoc. Mwishowe bili ikaja. 102,000/=. Kwa sababu mara kadhaa nyuma kuna watu walishawahi kutake the bullet wenyewe (hulazimishwi lakini). Nikataka kulipa na nikafanikiwa.
Bahati mbaya mfukoni nina 150,000/= tu. Njiani nikaweka mafuta 30,000/= siku ikaenda.
Jumamosi nakurupuka na usingizi wangu naona nishachelewa job. Nikajiandaa haraka. Wakati namuaga wife na mtoto.
Wife ananiambia ‘faza hauz nyumba yako haina hela ya kuspend'. Dah nikashtuka mi mwenyewe nina 18,000/= tu mfukoni. Nikamuuliza benki? Kanijibu hakuna chochote bado.
Ikabidi nimweleze ukweli nina shilingi ngapi, naye bila hiyana akaniambia nipe basi 8,000/= nikabaki na 10,000/=. Nikamwangalia mtoto na yeye. Ikawa ni mojawapo ya siku nilizowahi kuona sana aibu in my life.
Mbaya Zaidi hali ya haus bado si nzuri sana kuendekeza kukopa.
Nikawaza tu kwa haus za kipato kimoja cha baba. Ni makosa mangapi ambayo tunafanya kuweka starehe mbele ya familia?