Men:One of Our selfish moments

Men:One of Our selfish moments

halafu katika hizo hizo zamu za kulipa bill kuna wazugaji wengi. mtu anamute kiasi kwamba wengine mnaskia aibu mnazama mifukoni. kuna wazugaji flani nilikuwaga nao mahali, ikifika zamu ya kulipa bili wanaanzaa kudaiana madeni. ooh, lipa ile nnayokudai. siku ya kwanza niliona kawaida, heee mchezo ukawa unaendelea. mie nikawa nalipa changu natulia tulii.

Heheheh kuna viumbe weekened wanakula kwa mifuko ya wenzao.... na huwa siku zote wanatafuta kampani. Ukimtolea macho atachangia 10,000 hata kama kaona bili ni 200,000!!!! Sasa kukiwa na wenye aibu kama mleta mada unajikuta kila leo unalipa bili
 
viumbe wa hivo bora kuwakwepa. watakufilisi huku wao hela yao wanafanya ya maana ya kwako wewe ndio ya kuwanywesha na kuwalisha.
 
Kweli aisee...
Kuna dada mmoja alijipa ajira ya kumsindikiza mumewe kila mtoka..kama hajaagwa atamsaka mpaka.ampate. maana mume mtu anajua kuweka heshima bar...akionekana tu makupe wanafurahije... huku kwake wanapiga miayo hadi kulipa kodi ya nyumba tu ni majanga.......

Kwa kweli wakwepa bili hawakubaliki

viumbe wa hivo bora kuwakwepa. watakufilisi huku wao hela yao wanafanya ya maana ya kwako wewe ndio ya kuwanywesha na kuwalisha.
 
halafu katika hizo hizo zamu za kulipa bill kuna wazugaji wengi. mtu anamute kiasi kwamba wengine mnaskia aibu mnazama mifukoni. kuna wazugaji flani nilikuwaga nao mahali, ikifika zamu ya kulipa bili wanaanzaa kudaiana madeni. ooh, lipa ile nnayokudai. siku ya kwanza niliona kawaida, heee mchezo ukawa unaendelea. mie nikawa nalipa changu natulia tulii.

Nahamu ya kukulipia bili besti.
 
yaani vituko vitupu.. hadi natamani wakati wa kulipa bill ufike nianze kucheka hivo vioja vyao. kuna siku tulikuwa tunapita mahali tukasimama tununue vitu vya kutafuna. basi mmoja akamuita mwenzie pembeni.. kurudi wakakuta nishalipa na vitu tayari. wakanambia jamaa kaniita pemben ananambia tutembee tembee tukirudi tutakuta ushalipa bili. lol.

Dah! we utatufaa sana kwenye kigroup chetu....karibu mwaya.
Huku pia some people ni wabishi kulipa
 
Kweli aisee...
Kuna dada mmoja alijipa ajira ya kumsindikiza mumewe kila mtoka..kama hajaagwa atamsaka mpaka.ampate. maana mume mtu anajua kuweka heshima bar...akionekana tu makupe wanafurahije... huku kwake wanapiga miayo hadi kulipa kodi ya nyumba tu ni majanga.......

Kwa kweli wakwepa bili hawakubaliki

ndio walivyo wajenga heshima bar kwao kumechacha hakufai. chunguza hata wanaopenda kula migahawani wakat kwake ana familia. unakuta kule kumeachwa hela ya ugali dagaa yeye anajichana kokorikoo tu.
 
yaani vituko vitupu.. hadi natamani wakati wa kulipa bill ufike nianze kucheka hivo vioja vyao. kuna siku tulikuwa tunapita mahali tukasimama tununue vitu vya kutafuna. basi mmoja akamuita mwenzie pembeni.. kurudi wakakuta nishalipa na vitu tayari. wakanambia jamaa kaniita pemben ananambia tutembee tembee tukirudi tutakuta ushalipa bili. lol.

ha ha ha hao mabest zako nouma mbona wabahiri hivo!!!
na kuwachinjia baharini je???
 
hahahaha!!! kwenye hicho kigroup kabla hatujaanza kuelewa nakusanya kabisa hela za kila mtu. atakaekula sana na kunywa lazma aongeze hela wakat wa kulipa.

Hapa ukija mgeni lazima ulipe kama mara tatu hivi tujue kama utakiweza kigroup...
 
viumbe wa hivo bora kuwakwepa. watakufilisi huku wao hela yao wanafanya ya maana ya kwako wewe ndio ya kuwanywesha na kuwalisha.

aseee mi nikimnywesha mara ya kwanza,ya pili hajishiki tu mfukoni bye bye
kuna mzee moja alikuwa anapenda kila jmosi tukanywe na kula nyama yan saa tatu asbh anapga simu kufanya booking ya mtoko pambafff kila siku bill ikiletwa lazma aende toi nlivokuja kumsoma nikamkacha mazima nani anataka ufa.lah huo
 
NI kweli, ila hilo ni mojawapo tu ya mambo wanaume tunayafanya. What I like about many women ni kwamba hata akila good time ni lazima atasnach something cha kupeleka nyumbani. Nakumbuka mama alikuwa anatuletea sana vitu toka shereheni. Anyway I'm not like that...It was just a mistake
Kula like hiyo ni kweli kabisa Ke wengi wanapokuwa wanakula bata mara nyingi hukumbuka familia.MF Mimi Hubby anaponitoa out chochote nitakachoagiza lazima na take away yake ije kwa ajili ya home.
But nimefurahi umegundua kosa lako hujachelewa ni wakati wa kubadilika sasa.
 
kuna namna unatakiwa ufanye wajue kuwa sio ishu wanavofanya teh ka vipi unaagiza na kulipia kabisa bill yako wabaki wao wanatoleana macho

hao nishawapa fundisho kitambo. bili ikija nawasikilizia kwanza, wakianza kudaiana tu mi nalipa changu. hahaha! wananiambiaga mi kauzu. lol
 
Usirudie tena makosa kama haya, tena mshukuru Mungu kwa ajili ya mke wako inaonekana ni muelewa maana mwingine angekwambia umpe yote.
 
Back
Top Bottom