Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,631
- 4,692
Title yahusika.
Me kuna mmoja humu alinirushia PM tukawa tunawasiliana fresh tu,
Na utani wa hapa na pale.
Ila siku niliyokuja kuonana nae,sikuamini kabisa,
Kumbe alikuwa ni Boss wangu wa pale Manispaa Kinondoni.
Nadhani anajijua.
Wewe je,yupi uliewah kukutana nae na hukuamini/tarajia kukutana nacho?
P'se SIHUSIKI NA MTAJANO WA USERNAME!
Jamani hivi Pearl yuko wapi? Yaani sijamuona siku nyingi sana!