Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

Kuna mmoja humu jf nilipokutana naye uso bin uso,dah....kumbe ni receptionist wa hoteli ambayo huwa nina mazoea ya kwenda kuniniliyu....we acha tu.
King'asti huyo hahahahah!!!!!mie pia alinambia hakujua kumbe wewe ni mbabu hivyo lol.....upunguze sasa kunaniliyu manake utajafia kwenye vifua vya mabinti za watu tehe tehe.......Shikamoo Bishanga!
 
Last edited by a moderator:
Tutoke pamoja.

Siwezi kubaki, bila wewe machoni.
Hii wala si dhihaki , ewe wangu mwandani.
Kati yao malaki, wewe ndie namba wani.
Mwenginewe simtaki, JF shuhudieni.

twenzetu honey.

Mmmmmmmwaaaaaaaaaaaaaa!........ love you darling!
 
sijambo sweetlady wewe je? mbona umekuwa mkali hvo kwan kunan?
 
Last edited by a moderator:
Inamaana hata mimi hamnifahamu? Mbona nipo kila siku kwenye majukwaa ya siasa na kwenye vyombo vya habari?

Kaka Rejao tunakufahamu sana ......kwani asiyemjua kingunge ni nani bana lol.
 
Last edited by a moderator:
Mie ninalala na my hazbendi wangu kila siku.
Nina hamu ahame maana nimechoka kukutana naye maana anakula mno usiku lol

Huzband ujumbe wako huu, acha kunila usiku basi.
 
ili atapotokea mtu anasema amekutana mi face 2 face tukabiliane vyema sweetlady
 
Last edited by a moderator:
sio utani eti nshachonga boks za kutosha kuvaa mwaka mzima sweetlady
 
Last edited by a moderator:
OMG Kaunga! Erotika ni mwanaume? Imagination zangu zinamwona Erotica kama mwanamama mmoja aliyekulia ng'ambo hasa Marekani kwa jinsi thread na michango yake ilivyo liberal. Sante kwa ugunduzi wako.

Just kidding bwana! Ila l wish she (@Erotica) was he! LOL
 
Back
Top Bottom