Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

Kuna jamaa (rip) alinipatia kazi nimfanyie akanipatia na advance payment! Nipo bz na kazi kuingia jf nikakuta tangazo msiba wake! Sikujua b4 kama naye alikuwa memba hapa! Rip kandambilimbili
 
Kuna jamaa (rip) alinipatia kazi nimfanyie akanipatia na advance payment! Nipo bz na kazi kuingia jf nikakuta tangazo msiba wake! Sikujua b4 kama naye alikuwa memba hapa! Rip kandambilimbili
Nilikuwa namfahamu huyu jamaa hadi kwa majina ya mtaa. alikuwa akiitwa Mwesiga Baruti. Jamaangu sana.
 
Nilikuwa namfahamu huyu jamaa hadi kwa majina ya mtaa. alikuwa akiitwa Mwesiga Baruti. Jamaangu sana.

Mbona unatoa habari nusunusu?
Maliza kila kitu kuhusu huyu jamaa(Mwesiga)
nini kilimuua?
 
Mimi nimekutana na JF member kadhaa ila ckutaka kufahamu ID zao za Jf. Weng 2mekuwa 2kchat fb. Gender balance iko sawa.
 
Inamaana hata mimi hamnifahamu? Mbona nipo kila siku kwenye majukwaa ya siasa na kwenye vyombo vya habari?
Rejao...hahahahaha usinifanye niwaze ninavyowaza #teamNape!??????
 
Last edited by a moderator:
Me kuna mmoja humu JF n'na usongo nae sana.
We jitokeze tu unitaje,au kwa kuwa unaikumbuka ile siku uliyonikimbia pale Bar bila kulipa Bill?
Jitokeze tu,ile Bill nilishailipa siku ileile.
Ila cku ingine usijifanye matawi na pia vilevile uwe unatembea na ATM card..!!!
Mwe..!!!
 
Kwa mtndo huo cdhan kama atajtokeza hapa. SAHAU
 
Erotica, sikutarajia kuwa ni mkaka. The Boss nikaja gundua kuwa ni mlinzi wangu nyumbani!

Kaizer nilivyotoka naye the other weekend nikaja gundua ni Paroko wa parokia yetu lkn baada ya yote aliniu ngamisha.

Boflo ila sisemi!

Nina apointimenti na Kongosho this weekend, nitaleta fidibaki!

OMG Kaunga! Erotika ni mwanaume? Imagination zangu zinamwona Erotica kama mwanamama mmoja aliyekulia ng'ambo hasa Marekani kwa jinsi thread na michango yake ilivyo liberal. Sante kwa ugunduzi wako.
 
mi nimekutana na COBY sijui yupo huyu jamaa nlikutana nae pale msimbazi centre gereji.
 
Kuna mmoja humu jf nilipokutana naye uso bin uso,dah....kumbe ni receptionist wa hoteli ambayo huwa nina mazoea ya kwenda kuniniliyu....we acha tu.
 
Back
Top Bottom