Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

Kaunga. Something deep in me was telling me perhps you were pulling JF legs, but I told myself this is not the joke column and it is Kaunga talking not Kongosho! Unajua hapa JF kuna watu nawafahamu wanapenda kutaniatania ila wewe si mmoja wao. Nilliingia mkenge! Kwa hiyo kama@Erotica ni Eva, roho yangun imetulia maana huyu dada nimemzimia ile ya hatari na nikiona post zake nazikimbilia kama kichaa b'caue she is.... well... so sexy and appealing! Na nina feeling kwamba ungependa angekuwa Adam kwa sababu ya post zake zenye sincerity na openness! Thats my impression and pardon me if I am wrong. I do admire her so much.

Hello Erotica wherever you are, How are you? Am eagerly waiting for those sexy threads of yours you are so good at!

U are damn right, lakini this way ni nzuri zaidi kwani chances za ugomvi uhusuo infidelity inakuwa minimized.
 
Mh mi napita tu hapa...............Habari zenyu........basabahini!
 
Kaizer, mimi nilidhani nikifanya public comfession inaswihi zaidi!
Erotica yuko kwenye mfungo sasa, ulizidisha mapouzi hadi akaona bora aokoke; she is now searching for real love kwa maombi na kufunga.

Wewe ingia na gear ya kuoteshwa utampata tu! LOL

sasa Kaunga mbona unapiga za chini ya mkanda, kwano Erotica alitaka nn si kampani tu lol
 
Last edited by a moderator:
Hivi nani alishakutana na Mwanakijiji?

Pia huyu jamaa anaitwa Kiranga, sijui ndiyo huyo huyo Pundit? Manake wanafanana sana.
 
nadhani nikja dar next month ntakutana na baadhi ya wana jf especially ladies...heheheheheh...huku dodoma wanajf wamejichimbia sana
 
Hapa na mimi napanga wa kuutana nao kuanzia next year.. Pole sana kwa ban madame...
 
Kuna jamaa hapa JF alinionesha member mmoja mkorofi, ckuamini mtoto amejaza, cku maeneo ya posta nikaita username yake mtoto alistuka!!! Hawa dada zetu wa MMU ni sheeeeedga
 
Kuna jamaa hapa JF alinionesha member mmoja mkorofi, ckuamini mtoto amejaza, cku maeneo ya posta nikaita username yake mtoto alistuka!!! Hawa dada zetu wa MMU ni sheeeeedga

Unazungumzia madame fulani???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom