Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

Mbona umenipotezea wewe muraaaa?Nimekusubiria weeeee but whereeee????

nimekuotea we mwanamke!

ngoja nije unajua mziki wako si wa kucheza ukiwa na njaa! lol
miss neddy naomba umwandalie dada yako supu ya sato fasta abla mvua haijaisha!!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh mkuu umeamua kuingia kwenye kinyang'anyiro na mura? Shauri yako
Tee Bag ntamgeuza maize bag muda si mrefu!

naona ameanza kuota sugu kabla hajafanya push ups!
utafiti endelea kujificha tu!.. ntawafyekelea mbali leo leo we na huyu maize bag!
 
Last edited by a moderator:
nimekuotea we mwanamke!

ngoja nije unajua mziki wako si wa kucheza ukiwa na njaa! lol
miss neddy naomba umwandalie dada yako supu ya sato fasta abla mvua haijaisha!!

Mmerudiana?Kweli jeshi lako hatari
 
Last edited by a moderator:
Tee Bag ntamgeuza maize bag muda si mrefu!

naona ameanza kuota sugu kabla hajafanya push ups!
utafiti endelea kujificha tu!.. ntawafyekelea mbali leo leo we na huyu maize bag!

mkuu kwema? mbona leo umekua mkali sana au ww man u nn
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom