klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Huyo lazima atakuwa ni Preta tu manake ashasema ana hamu ya kujiachia.....nifowadie nimsute live hapahapa.
Sio preta, Preta yeye ameniPM anauza lipustiki kama nataka kukununulia wewe, mwisho wa tangazo lake ameweka kauli mbiu yake
" Kwanini utongoze, wakati ukimnunulia lipustiki tu analala mwenyewe"
hehehe Preta bana.