Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

CUTE hakikisha huyo mmoja unaetamani kukutana nae sio klorokwini....


Wapendwa wote muwe na usiku mwema......Mmmwaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!......Me loves you!

Tutoke pamoja.

Siwezi kubaki, bila wewe machoni.
Hii wala si dhihaki , ewe wangu mwandani.
Kati yao malaki, wewe ndie namba wani.
Mwenginewe simtaki, JF shuhudieni.

twenzetu honey.
 
not yet made deep friendship with anybody, for now have no one to meet ,
any one curious to meet me..???
 
klorokwini - niko nae hapa Bishanga - uonavyo avatar yake ndivyo alivyo cacico - ndie aunt ezekiel Kaizer - ni mrisho mpoto Asprin - ni mbabu haswa

Wengine nimewasahau nikikumbuka ntakuja kuongeza list.
sweetlady mamboz! kumbe unanikumbuka thought utachanganya madesa, nipo mwaya! natamani kukutana na ..........., anajijua! sweetlady hata mi nilivyokuona sikujua kuwa u r sooooo beautiful kama vile lol! mmmh bishanga anajibwedea kwa kweli!
 
eeeeeh bado kwa kweeli sijakutana na jf members hata mmoja au kwa kuwa niko mkoa any ntakuja dar kumtafuta hata................ huwa animaliza huyu.
 
hahahahaha my wifi unajua hutukutana JF

Mie Blaki Womani anawajua wote ambao nimekutana nao face to face...............lol............naona niishie hapo bila ya kumwaga mtama mwingine kwenye kuku wenye njaa kali hivi ya khabari.................duh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom