Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

Erotica, sikutarajia kuwa ni mkaka. The Boss nikaja gundua kuwa ni mlinzi wangu nyumbani!

Kaizer nilivyotoka naye the other weekend nikaja gundua ni Paroko wa parokia yetu lkn baada ya yote aliniu ngamisha.

Boflo ila sisemi!

Nina apointimenti na Kongosho this weekend, nitaleta fidibaki!

hahaahahhaaaa lolest....
 
Last edited by a moderator:
Nilikutana na erotica Jimkana viwanja vya golf...
 
Teh njoo babylon pako poa mbaya...pamenoga sana Preta

hapo nshakujaga kama mara 3 nikakosa nafasi.....leo najisikia kujiachia sana.....tufuate mwanga bdae nini.....?
 
Last edited by a moderator:
hapo nshakujaga kama mara 3 nikakosa nafasi.....leo najisikia kujiachia sana.....tufuate mwanga bdae nini.....?
Yan sio swali ukizingatia ndio njia ya hm lol
lazma nipitie hata saa moja tu...leo ni raha day
 
Tatizo unaweza kutana na mtu baadaye ukaja kujutia. Binafsi sijawahi wala sifikirii kukutana na mtu. Nilishawahi kubadilishana namba na mmoja, kwa bahati mbaya akageuka kuwa matatizo. Siyo wana Jei Efu wote ni watu wema..🙁

ingawa wapo wana JF ambao ninafahamiana nao humu, na wanajua id yangu, nami ninazijua id zao...
 
Huyo lazima atakuwa ni Preta tu manake ashasema ana hamu ya kujiachia.....nifowadie nimsute live hapahapa.

jamani jamani....hii yote ni kwa sababu bebii yangu yupo chaka.....au ni nini....
 
Last edited by a moderator:
Hata mmoja sijakosea kumuona.
 
Tatizo unaweza kutana na mtu baadaye ukaja kujutia. Binafsi sijawahi wala sifikirii kukutana na mtu. Nilishawahi kubadilishana namba na mmoja, kwa kweli aligeuka kuwa matatizo. Siyo wana Jei Efu wote ni watu wema..🙁

ingawa wapo wana JF ambao ninafahamiana nao humu, na wanajua id yangu, nami ninazijua id zao...

halafu wewe nakutafuta....
 
Back
Top Bottom