Membe, Watanzania walioko Ukraine wanakulilia!

Mli wachagua wenyewe sasa yame wakuta serial I ya Ccm me simo !!!!!

Sasa wewe ubaongea ugoro suala watanzania waliokwama u krain sasa sisim imeingia kutoka wapi tatizo ninaloliona niwizara ya nje kutojali watanzania wanaopata shida wakiwa nje.inajali the so called diaspora wanaotaka kuingiza mitaji kutoka njee.hii ni tabia ya watanzania.kama ilvyi cdm kujali watusi kuliko wa tz
 
.... Mkuu Kwanza Onyesha Ushahidi Jins Cdm Inavowajali Watusi, Watutsi Mkuu Wale Ni Taifa Kubwa Haitaji Msaada.. Lakn Kulaum Sisim Ni Haki Coz Hii Serkal Ni Ya Magamba
 
Thats Why I Always Respect The Govnt Of Rwanda Under Kagame, Inawajali Sana Watu Wake Siyo Kama Ya Kwetu Under Jk
 
..... Labda Kamanda Mzee Wa Kesi Mtikila Anaweza Kutusaidia Maana Ni Mtanzania Ambaye Ana Upole Ambao Haujaelekea Kwenye Uzuzu

Kweli Kamanda Mtikila anaweza kutusaidia sasa nitampataje ili nimlilie hali maana niko huku kijijini!
 
Sasa wewe ubaongea ugoro suala watanzania waliokwama u krain sasa sisim imeingia kutoka wapi tatizo ninaloliona niwizara ya nje kutojali watanzania wanaopata shida wakiwa nje.inajali the so called diaspora wanaotaka kuingiza mitaji kutoka njee.hii ni tabia ya watanzania.kama ilvyi cdm kujali watusi kuliko wa tz

CCM siipendi; ila nalazimika kuichagua sabab ndo dawa ya watusi kama #MAHORO
 
Kweli Kamanda Mtikila anaweza kutusaidia sasa nitampataje ili nimlilie hali maana niko huku kijijini!

Ngoja Nitakutumia Namba Yake, Au Nitamfuata Mwenyewe Ofsn Kwake Napajua Afu Nitakwambia
 
Kwa sababu ya Kagame na Watusi wenzenu ntaichagua CCM 2015. 😀😀😀

...... Endelea Kuwachagua Hao Ambao Hawajali Watu Wao, Watawanyonya Mpaka Mtaisha. Kweli Sis Watz Ubongo Wetu Umegandishwa Na Macc. Nazan Wewe Utakuwa Kikongwe.'
 
Lazima niwapigieee kuraa. We mtusi ushapanic
 
Jamani hawa watu wasaidiwe lkn hii ni fedheha yaani kweli watu mpaka bbc itangaze ndio kweli hatua ichukuliwe jamani yaani inamaana hatuna balozi huko ? Kama yupo kazi yake nn ?
 
..... Mkuu Clauz Wakikusikia Watakwambia Usilalamikie Serikali, Jifanyie Mwenyewe Huo Ndo Uzalendo.. Labda Ukraine Ingekua Kongo Ndo Wangeenda..
 
Wabari za usiku watz. Ni hali ya ajabu sana kwa nchi kama tz kushindwa kuwasaidia wananchi wanaosoma ukrain. Ilikuwa ni mji mmoja ambako vita inapiganwa kila mtu alitafuta njia ya kuokoa maisha yake lakini imekuwa vigumu kwa watz kushindwa kumudu ghalama za ghafla kusafiri kwenda kwenye mji ambao hakuna vita. Dada mmoja amewasiliana na BBC na aliulizwa juu ya msaada wa kibalozi kuwasaidia ktk janga, amesema ubaloz hawana msaada kwan bungeni hawakutenga bajeti ya kusaidia matatizo kama hayo. Rai yangu ni kweli ss hatuna fedha za kulinda watu wetu? chonde balozi wetu wasaidie raia wenzetu. Karibuni... source BBC
 
Back
Top Bottom