Hebu rudia kusoma ulichoandika mwanzo hadi mwisho hujisikii aibu? Una umri gani?
Sasa Kosa Liko Wapi We Mtoto Wa Kike? Uliza Kama Hujaelewa
Hebu rudia kusoma ulichoandika mwanzo hadi mwisho hujisikii aibu? Una umri gani?
wizara inayohusika si ya mambo ya nje???halaf huy huy ndiye anasema anataka urais wa nchi???kamwe hatutaki upuuz na ujinga uliopitiliza kamwe,kama hao watanzania wachache tu walioko huko ameshindwa kuonyesha uzalendo je hawa zaid ya milion arobain na tano itakuwaje
Sasa Kosa Liko Wapi We Mtoto Wa Kike? Uliza Kama Hujaelewa
Ngoja waonje joto la vita huko, manake hawa watu walio nje wakija hapa Dar ndio wanajifanya ni bishoo, ma braza men
Ujue nini? Sio kosa lako mimi nilijua ulivyozaa watoto wawili labda utakua umeshazoea uzazi kumbe bado ukibeba mimba changa zinakusumbua we
kahaba?
nimeskia leo asubuh bbc swahil nlikasirika sana nliposikia kenya uganda wanawajal watu wao sis watu wetu wa me andika barua hakuna respond siwez kuwa mzalendo kwa li nchi kama hili one day I wil b another country citizen fo sure
uzalendo uko clouds fm na jkt pekee na ndio jukumu lao kwenda kuwaokoa
Ha ha ha Mkuu hiyo Avtar yako inanikumbusha mbali sana, kama sijakosea huu ni ule mgomo wa Udom mwaka 2010-2011, na huyo shushu tulikuwa tunamuimba chid benz chid benz chid benz. heko ndg. Tukirudi kwenye hoja ya msingi, hao wa Ukrain hawajui sisi tuko bize kutekeleza ilani na kupambana na UKAWA maana tunahisi kupoteza dola mwakani
Membe Mbona Kule Kongo Kapeleka Majeshi Fasta. Haya Sasa Mbona Wanainchi Wetu Wanakufa You Kraine Then Mende Yuko Kimya Tu Kama Hayupo Vile. Au Hakuna Maslahi Kama Kongo
Vipi GAZA hakuna WaTanzania?